[Chorus]
Mi kweli natamani
SIku iwezekane
Nifumbue macho mi kuona
Nijue sababu gani
(Ni) Unanipenda sana
Wakati siwezi mi kuona?
Mi kweli natamani
SIku iwezekane
Nifumbue macho mi kuona
Nijue sababu gani
(Ni) Unanipenda sana
Wakati siwezi mi kuona?
[Verse 1]
Mara nyingi peke yangu nawaza
Namuomba Mungu nisije kukwaza
Nikaja kukupa maudhi na nafsi kuichoma...
Chai
Tena usiku mzima nalia darling
Napiga goti kwa Mola nasali
Azidi tupe baraka tusije kosa dona...
[Pre-Chorus]
Eiih
Mi macho yangu
Nimejaliwa mboni lakini nuru sina
Ningekuwa na uwezo
Ningefanya kazi nikuhudumie
Upofu wangu
Ndio kikwazo kikubwa, mwenzako raha sina
Lakini unanijali
Mbali na mengi
Unanipenda sana
[Chorus]
Mi kweli natamani (natamani)
SIku iwezekane (iwezekane)
Nifumbue macho mi kuona
Nijue sababu gani
(Ni) Unanipenda sana
Wakati siwezi mi kuona?
Mi kweli natamani
SIku iwezekane
Nifumbue macho mi kuona
Nijue sababu gani
(Ni) Unanipenda sana
Wakati siwezi mi kuona? (eiih)
[Verse 2]
Nasikia kuna rangi ya upendo
Ili upendwe kuna pozi za mwendo
Utanashati, udambu dambu na urembo mi sina...
Chai
Mi natamani nitazame
Kwa ardhi na mbingu nilalame
Nipande mawingu na niiname
Uwenda nikaona...
[Pre-Chorus]
Eiih
Mi macho yangu
Nimejaliwa mboni lakini nuru sina
Ningekuwa na uwezo
Ningefanya kazi nikuhudumie
Upofu wangu
Ndio kikwazo kikubwa, mwenzako raha sina
Lakini unanijali
Mbali na mengi
Unanipenda sana
[Chorus]
Mi kweli natamani (kweli natamni)
SIku iwezekane (iwezekane)
Nifumbue macho mi kuona (hii...)
Nijue sababu gani (ni sababu gani)
(Ni) Unanipenda sana (unanipenda sana)
Wakati siwezi mi kuona? (eh eh eh)
Mi kweli natamani (natamani mama)
SIku iwezekane (iwezekane)
Nifumbue macho mi kuona (nikuone)
Nijue sababu gani (eh, eh eh)
(Ni) Unanipenda sana (oh, oh oh)
Wakati siwezi mi kuona?
[Interlude]
Eh eh
Nikuone mama
Niweze tazama
Eh eh eh eh
[Outro]
Everybody say, eh eh eh eh eh
Eh eh eh eh eh eh
Eh eh eh eh eh
I love you, nakupenda
Chai
Eh eh eh eh eh
Eh eh eh eh eh eh
Eh eh eh eh eh
I love you, nakupenda
Tai
Eh eh eh eh eh (eh eh)
Eh eh eh eh eh eh (oh oh)
Eh eh eh eh eh
I love you, nakupenda...