Diamond Platnumz
Kizaizai
[Verse 1]
Yanaanza kama safari
Twende fulani ukaone
Kumu yana nguvu ni hatari
Ukishanasa ndio uponi, eh
Yanaanza kama safari
Twende fulani ukaone
Kumu yana nguvu ni hatari
Ukishanasa ndio uponi, eh

[Pre-Chorus]
Mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya mwenzako sikia omba yasikupate
Eiih
Mungu aliumba dunia na maajabu yake...
Ya mwenzako sikia
Ila yasikupate...

[Chorus]
(Kizaizai)
Nyie mapenzi yanauma (eh eh)
(Kizaizai)
Yanaumiza (Kizaizai)
Oh, kizunguzungu (KIzaizai)
Jama mapenzi mabaya (Kizaizai)
Weza gombana na Ndugu (Kizaizai)
Rafiki akawa Mubaya (Kizaizai)
Kazi ukaona chungu (Kizaizai)
Nyie mapenzi karaha (Kizaizai)
[Interlude]
Eh
Grazie
Grazie

[Verse 2]
Mmmh
Yanayima furaha
Mmmh mmh
Yanakosesha raha
Eh, eh eh
Yanayima furaha
Mmmh mmh
Yanakosesha raha
Mmmh mmh
Tena usiombe kupenda
Ulie mpenda ajue
Tena usiombe kupenda
Ulie mpenda ajue
Amani utakosha Karaha jamani...
Dunia tena chungu kufa utatamani...

[Pre-Chorus]
Eiih
Mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya mwenzako sikia omba yasikupate
Eiih
Mungu aliumba dunia na maajabu yake...
Ya mwenzako sikia
Ila yasikupate...
[Chorus]
(Kizaizai)
Nyie mapenzi yanauma (eh eh)
(Kizaizai)
Yanaumiza (Kizaizai)
Oh, kizunguzungu (KIzaizai)
Jama mapenzi mabaya (Kizaizai)
Weza gombana na Ndugu (Kizaizai)
Rafiki akawa Mubaya (Kizaizai)
Kazi ukaona chungu (Kizaizai)
Nyie mapenzi karaha (Kizaizai)

[Bridge]
Baba na mama watake (Kizaizai)
Chakula tamu ni sumu (KIzaizai)
Mashoga sasa wanafiki (Kizaizai)
Kulala nanyi ni ngumu (KIzaizai)
Eiih, yanauma (Kizaizai)
Tena yanauma sana (Kizaizai)
Yanauma (Kizaizai)
Oh, yanauma sana (Kizaizai)

[Outro]
Oh oh oh (Kizaizai)
Eh eh (Kizaizai)
Eh eh eh eh (Kizaizai)
Ayo (Kizaizai)
And this is kid from Tanzania (Kizaizai)
Diamond Platnumz, baby (Kizaizai)
In See Records (Kizaizai)
Naples (Kizaizai)
Italiano, baby (Kizaizai)
Holla (Kizaizai)
Twende (Kizaizai)
Suka
Suka
Suka
Suka
Suka
Suka
Suka
Suka
Suka
Suka
Suka
Suka
Suka
Suka
Suka
Suka (Kizaizai)
Suka, aja (Kizaizai)
Mila, kata, aga, twende (Kizaizai)
Ha, ha, ha (Kizaizai)
Ha, ha, we (Kizaizai)
Thank you, See Records
Thank you