Diamond Platnumz
Asante
[Intro – AY]
Si vibaya
Siku moja ukikaa na umpendae
Na kumwambia… (asante)
Yeah! Hahaha, kwa yote aliyokufanyia
(Asante) mko wote long time
Mnapendana, mnaheshimiana

[Verse 1 – AY]
Na-na, na naomba leo unipe nafasi
Unipe quality time ili wasitughasi
Nikueleze kitu muhimu toka kwa yangu nafsi
Nitazame straight machoni usiwe na wasi
All the time
(Unanifanya mi nitabasamu)
Talk to me girl
(You make my life niyaone matamu)
Hell yeah!
(Nnavyoku-feel, ujue vile nnavyoku-feel)
Yeah, it’s been a while mi na we tuna-survive
Popote tupo wote, tupo happy kama vile butterflies
Kwa mapenzi matamu, yanaonifanya kila saa minitabasamu
Umenipa furaha, kweli umenipa raha
Unanifanya mwenzio nisahau mpaka karaha
Nimepitia mambo mengi sana nawe
Mengine mazuri, mabaya, ndo maana nasema…
[Chorus – Dela]
Asante
Kwa mapenzi tele yako (juu yangu mi)
Siwezi kukuacha, siwezi kukuangusha niamini
Asante
Kwa mapenzi tele yako (juu yangu mi)
Siwezi kukuacha, siwezi
I believe you’ll never let me down

[Verse 2 – Dela]
Kwangu we ndo taa, we ndo unanifaa
Kwako nishakaa, Mungu atuepushie balaa tuzidisonga, right?
Moyoni we ni ice cream
Unanipoza, usiache na kunipa utamu
I’m sorry kwa yote niliyokukosea
Na-struggle all the time ili nisije potea
Sweetheart, know that I care about you
Bado tuna long journey witchu my boo
Sometimes… (sometimes)
Nakuwa arrogant, nakukosea mpaka kuniona hutaki
Najiona mwenye bahati ingawa wengine hawataki
Chance kwangu hawapati, twende heart to heart
I trust you, believe in you, we ndo my boo
We ndo unanifanya nikwambie hivi
Una taste kwenye nguo, una taste kwenye mapishi
Kwenye game we ndo queen haina ubishi
[Chorus – Dela]
Asante
Kwa mapenzi tele yako (juu yangu mi)
Siwezi kukuacha, siwezi kukuangusha, niamini
Asante
Kwa mapenzi tele yako (juu yangu mi)
Siwezi kukuacha, siwezi
I believe you’ll never let me down

[Bridge – Dela]
Mapenzi yako, mapenzi yako
(Love you, love you, love you, love you, love you)
Vile unavyonijali, vile unavyonijali
(I’ll love you, love you, love you, love)
We were meant to be together
No one else could do it better
Than you, boy, than you, boy

[Outro]
[AY]
Asante
Hell yeah
Love’s in the air
Asante inatambaa coast to coast
Karibisheni furaha ndani yenu
Si kugombana au kukomoana, right?
Right?
Na kama uko nae karibu
Fanya kum-kiss
Na kama uko nae mbali
Mwambie umem-miss
Yeah, wooo!
[Bridge: Diamond Platnumz]
Akonyirani tabu nilizopitia ngavuni
Milele we ni wangu
Wenye kununa na wanune

(Asante
I can’t live without you
Baby, we were meant to be together)