Diamond Platnumz
Amaboko
[Intro: Rayvanny & Diamond Platnumz]
Mwaga maji tucheze kama kambale
Leo ni Vanny Boy
Yupo na mtoto wa Tandale
Aii
S2Kizzy, baby
Wasafi...

[Chorus: Rayvanny & Diamond Platnumz]
Amaboko (eh...amaboko)
Amagulu (eh...amagulu)
Amaboko (eh...amaboko)
Amagulu (eh...amagulu)
Ah, gbese

[Refrain: Diamond Platnumz]
To to li, to to, to
To to li, to to, to
To to li, to to, to
To to li, to to

[Verse 1: Rayvanny]
Watoto wa bibi
Wanacheza kote mpaka kwenye matope
Wanavua wigi
Kama wamegombana na ebitoke
Fanya kama unadukua (twende sasa)
Unanengua (twende sasa)
Unapika na pakua (twende sasa)
Aii, chukua (twende sasa)
Nasema po po po po (tunakesha po po)
Leta chupa kwa chupa na moshi tulewe (tunakesha po po)
Nasema po po po po (tunakesha po po)
Shika pesa tusepe silali mwenyewe (tunakesha po po)
Anasasambua (kalewa)
Anakibinua (kalewa, lewa)
Anajichetua (kalewa)
Ayayayaya (kalewa, lewa)
[Chorus: Rayvanny & Diamond Platnumz]
Amaboko (eh...amaboko)
Amagulu (eh...amagulu)
Amaboko (eh...amaboko)
Amagulu (eh...amagulu)
Ah, gbese

[Refrain: Diamond Platnumz]
To to li, to to, to
To to li, to to, to
To to li, to to, to
To to li, to to

[Verse 2: Diamond Platnumz]
Asa baby show
Show onyesha alichokupa mama
Baby ko
Komesha usijali lawama
Kana sipidi di di (di)
Mwendo 4G ji ji ji (ji)
Katoto gwiji gwiji (ji)
Kwenye kujigi jigi (ji)
Venye nyomi kijiji
Manyoni itigigi
Twende mpaka morning kibidi
Nizami shimoni kimbiji
Eh, katoto kana papara (para)
Kupigwa nyembe kipara (para)
Namvuta kama sigara (ra ra ra)
Nasema po po po po (tunakesha po po)
Tembeza cha ukucha na monde tulewe (tunakesha po po)
Hana ngu po po po po (tunakesha po po)
Kama Kigoma vute usilale mwenyewe (tunakesha po po)
Ayaya (kimempanda)
Oh, kidaruso (kimempanda)
Kaisha leo (kimempanda)
Namsomba kama fuso (kimempanda)
Umo
[Chorus: Rayvanny & Diamond Platnumz]
Amaboko (eh...amaboko)
Amagulu (eh...amagulu)
Amaboko (eh...amaboko)
Amagulu (eh...amagulu)
Ah, gbese

[Refrain: Diamond Platnumz]
To to li, to to, to
To to li, to to, to (aii...)
To to li, to to, to
To to li, to to
(Ka mix Lizer)

[Reprise: Rayvanny & Diamond Platnumz]
Mwaga maji tucheze kama kambale
Leo ni Vanny Boy
Yupo na mtoto wa Tandale (aii...)
Mwaga maji tucheze kama kambale (umo)
Leo ni Vanny Boy
Yupo na mtoto wa Tandale

[Outro: Diamond Platnumz]
Sa chezesha kileso (kileso)
Eh, kileso, kileso (kileso)
Sa zungusha kileso (kileso)
Eh, kileso, kileso (kileso)
Aga kama unakibana kwa kwapa (kileso)
Kilete kwa hapa (kileso)
Kama unarusha unataka (kileso)
Ehen, swadakta (kileso)