Diamond Platnumz
Magufuli Baba Lao
Magufuli baba lao (Baba lao) Joseph baba lao (Baba lao) John Pombe baba lao (Baba lao) Magu baba lao (Baba lao)
Eeeh Ma Samia mama lao (Mama lao) Majaliwa baba lao (Baba lao) Bashiru baba lao (Baba lao) CCM chama lao
Kona kwa kona, chocho tuchocho Kwa wakubwa mpaka watoto Magu anazidi pamba moto Wapinzani matumbo joto
Mmechoka eti? (Aaah wapi) Mnataka lala? (Agah wapi) Wapinznai watatuzidi? Aaah wapi) Wataweza huu muziki? Aaah wapi)
Sasa twende kisa mjini sambamba Magu anazidi bamba Anafufua na viwanda Ndege zetu tunapanda
Wataweza kweli? (Aaah wapi) Kushindana nasi (Aaah wapi) Hata wakiungana (Aaah wapi) Matusi kututukana (Aaah wapi)
Magufuli baba lao (Baba lao) Joseph baba lao (Baba lao) John Pombe baba lao (Baba lao) Magu baba lao (Baba lao)
Eeeh Ma Samia mama lao (Mama lao) Olepole baba lao (Baba lao) Mzee Mangula baba lao (Baba lao) CCM chama lao
Majib Selema Hadija Selema (Selema) Wananchi wamesema Tunashinda tena (Eeh tena)
Wanadhani kura mseleleko Eeeh tunawakwepa Watabaki masononeko Eeeh tunawacheka
Kwanza kunja gaju (Eeh kunja gaju) Nikupe mikakati (Eeh mikakati) Ameleta mwendo kasi Barabara juu na kati
Eeh shule za kata (Ni bure) Sekondari (Ni bure) Hospitali Ni bure) Kwa wazee (Ni bure)
Sisi twashinda tena Sisi CCM twashinda ten Magu anashinda tena Magu Magu anashinda tena eeh
Samia anashinda tena Mama Samia anashinda tena Sisi twashinda tena Sisi CCM washinda tena eeh
Magufuli baba lao (Baba lao) Joseph baba lao (Baba lao) John Pombe baba lao (Baba lao) Magu baba lao (Baba lao)
Eeeh Makonda baba lao (Mama lao) Eri James baba lao (Baba lao) Juma Mabogi baba lao (Baba lao) CCM chama lao
Mzuka ukipanda Na hili shati navua (Acha uongo) Mzuka ukipanda Na hili bukta navua(Acha uongo)
Jamani navua (Acha uongo) Mama navua (Acha uongo) Mwenzenu navua (Acha uongo) Eeeh kuna BASATA!
Basi napiga Yope (Huwezi) Oooh napiga Yope (Huwezi) Magu napiga Yope (Huwezi) Ma Samia napiga Yope (Huwezi)
Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh!.Eeeeeh!
Eh!Eh!Eh! Eh Eh.. Eeeh!
Wabunge napiga Yope (Huwezi) Madiwani napiga Yope (Huwezi) Wajumbe napiga Yope (Huwezi) Wenyekiti napiga Yope (Huwezi)
Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh!...eeeh!
Eh!Eh!Eh! Eh Eh. Eeeh!