Diamond Platnumz
Bado Sana
[Intro]
Nionyeshe unavyochumaga (bado)
Mchicha tembele (bado sana)
Waonyeshe unavyochumaga (bado)
Mchicha (bado sana)
Waonyeshe unavyochumaga (bado)
Mchicha tembele (bado sana)
Waonyeshe unavyochumaga (bado)
(Mr. LG)
Mchicha (bado sana)
[Verse 1: Lava Lava]
Ngoja kwanza nidangedange mambo yakuwa na mpenzi
(Bado sana)
Nimezoea kwa Mpalange eti unipeleke Mbezi
(Bado sana)
Kutega unatega ila kupata masponsa
(Bado sana)
Tatizo nje shega ila ndani kujiosha
(Bado sana)
We mgosi wakukaya
Ebu kuwa na hhaya (bado sana)
Tulikutoa Sigimbi
Leo unajiona wa Ulaya (bado sana)
Ka mnasepa sepeni mi kurudi nyumbani (bado sana)
Ka mnakesha kesheni
Tikisha kama imeisha (bado sana)
[Chorus: Lava Lava]
Bado
Bado sana
Bado
Bado sana
Nauliza mmechoka? (bado)
Mmechoka? (bado sana)
Nauliza mmechoka? (bado)
Mmechoka? (bado sana)
[Interlude]
Nionyеshe unavyochumaga mchicha tembelе
Waonyeshe unavyochumaga mchicha
[Verse 2: Diamond Platnumz]
Aii
Ako kamacho matatu usijione boss si (bado sana)
Ukajishebedua kutuletea mapozi (bado sana)
Kwa vibia vitatu ndio eti uning'oe (bado sana)
Niache kule bata eti Simba uoe (bado sana)
Wanao subiria (bado)
Dangote kufulia (bado sana)
Vinyimbo wataimba ila we!
Kunifikia (bado sana)
Eti kisa Kigali ndio atusalimi (acha)
Ndio maana demu wake wanamnani (ajajaja)
N'jomba Nchumali kachinja mang'ombe
Anizidi kwa kiti (acha bwana)
Cha ajabu kazidi ubonge
Ila kwenye muziki (bado sana)
Ka mnasepa sepeni
Mi kurudi nyumbani (bado sana)
Ka kukesha tukeshani
Au mizuka imekwisha (bado sana)
[Chorus: Lava Lava]
Bado
Bado sana
Bado
Bado sana
Nauliza mmechoka? (bado)
Mmechoka? (bado sana)
Nauliza mmechoka? (bado)
Mmechoka? (aya)
[Bridge: Lava Lava & Diamond Platnumz]
Tumpeleke msobe msobe
Wanangu msobe msobe
Tumpeleke msobe msobe
Ah...msobe msobe
Kushoto (msobe msobe)
Kulia (msobe msobe)
Twende kwambele (msobe msobe)
Kwanyuma
[Middle 8: Diamond Platnumz]
Wanangu nawarudisha utotoni (wapi?)
Kule utotoni (wapi?)
Niwapeleke utotoni (wapi?)
Kule utotoni
[Outro: Both, Lava Lava & Diamond Platnumz]
Sa twende yesa yesa yesa, ye...
Yesa tena
Yesa yesa yesa, ye...
Bado kidogo
Yesa yesa yesa, ye...
Ya mwisho yesa yesa yesa, ye...