Diamond Platnumz
Waache Waoane
[Intro: Chege]
Said Fella!
T.M.K. for life
Wasafi
Enhe-he-he
Check it out
Wasafi Records

[Pre-Chorus: Chege]
Maji ya moto yamekuwa baridi
(La, la, la, la, la...)
Hakimu nimekuwa shahidi
(La, la, la, la, la...)
Ukishusha mateso ndio yanazidi
(La, la, la, la, la...)
Alioniliza ndio wa kunifariji
(La, la, la, la, la...)

[Chorus: Chege]
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...

[Verse 1: Chege]
Yamedhibitisha macho, 'lakini moyo unakataa
Nimeamini kikulacho, 'ni yule unayeona anayekufaa
Nilifumba mboni zangu, 'kwa wengine ni muone yeye tu
Nikamwaga jasho langu, japo kidogo' nile naye yeye tu
Mwambie' awe huru, wala sinto lalama
(Ah-ha, ah-ha)
Sitaki kukufuru, wafunge ndoa salama
(Ah-ha, ah-ha)
[Chorus: Chege]
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...

[Verse 2: Diamond Platnumz]
Oh...
Ay, anaye panga kugawanya huwaga ni Mungu baba
Katu siwezi kulalama, ridhiki mafungu saba
Nimejitahidi sana, huenda sikumridhisha labda
Ila kinacho nichanganya, hakuniamba kabla
Oh!, 'tena nakupa maua, umpelekee
Usije yatupa, naomba uyapokee
Oh!, 'na swala ntafunga, usiku ni waombee
Awape baraka muumba, watoto wa waletee
Yeah...

[Bridge: Chege & Diamond Platnumz]
Waache waoane...
Oh, salimini salama
Waache waoane...
Aye, wawe baba na mama
Waache waoane...
Tena naeka na nadhiri
Waache waoane...
Aku! sinto wasumbua
[Pre-Chorus: Chege]
Maji ya moto yamekuwa baridi
(La, la, la, la, la...)
Hakimu nimekuwa shahidi
(La, la, la, la, la...)
Ukishusha mateso ndio yanazidi
(La, la, la, la, la...)
Alioniliza ndio wa kunifariji
(La, la, la, la, la...)

[Chorus: Chege]
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...

[Post-Chorus: Diamond Platnumz]
Aga' japo moyo wangu (Kitete)
Moyo wangu (Kitete)
Ah, yarabi moyo (Kitete)
Taratibu nitazoea
Moyo...
(Kitete)
Moyo wangu (Kitete)
Mwenzenu moyo (Kitete)
Taratibu nitazoea
Oh, mama moyo...
(Kitete)
Moyo hii...
(Kitete)
Oh! wangu moyo (Kitete)
Moyo wangu mama
Yeah
[Instrumentals]

Aiyo, Laizer