[Intro]
Zacha
Wasafi...
Chali
Ai'yo Chali
Ai'yo yo
[Chorus]
Mi nataka kesho
Twende nikupeleke nyumbani
MI nataka kesho
Twende ukamuone mama
Mi nataka kesho
Twende nikupeleke nyumbani
MI nataka kesho
Twende ukamuone mama
[Verse 1]
Aii
Kwanza kabisa nitanyonga tai
T-shirts na jeans nitatupa kidogo
Niite Nassib usiniite dai
Asije kukuona muhuni akapandisha mbogo
Na ukifika uagize chai
Savannah Tequila uzipe kisogo
Kuhusu mavazi kimini haifai
Tupia pendeze ladha yake inoge
[Pre-Chorus]
Even though
Wanaponda eti we ni kicheche
Waambie ndo
Chaguo langu sasa wanicheke
Even though
Wanaponda we ni kicheche
Waambie ndo
Chaguo langu sasa wanicheke
[Chorus]
Mi nataka kesho
Twende nikupeleke nyumbani
MI nataka kesho
Twende ukamuone mama
Mi nataka kesho
Twende nikupeleke nyumbani
MI nataka kesho
Twende ukamuone mama
[Verse 2]
Na
Usilete swagger za nai nai
Ukanyoa kiduku kama moze liogo
Eti shopping twende thai
Wakati dada angu ana duka Kigogo
Ukikuta nguna usikatae
We zuga unapenda hatakama wa muhogo
Kuhusu kabila wala silagi
Mama angu hana noma hatakama mgogo
[Pre-Chorus]
Even though
Wanaponda eti we ni kicheche
Waambie ndo
Chaguo langu sasa wanicheke
Even though
Wanaponda we ni kicheche
Waambie ndo
Chaguo langu sasa wanicheke (eh, eh eh)
[Chorus]
Mi nataka kesho (oh oh oh oh oh)
Twende nikupeleke nyumbani (eh eh eh eh)
MI nataka kesho (hii...)
Twende ukamuone mama (Mama Diamond)
Mi nataka kesho (Oh, Mama Diamond)
Twende nikupeleke nyumbani (oh oh oh oh oh)
MI nataka kesho (hii...)
Twende ukamuone mama (iye)
[Bridge]
Ah
(Mama)
Mama yangu Mama
(Mama)
Mama Nassib Mama
(Mama)
Mama Diamond Mama
(Mama)
Oh oh
Mama yangu nyumbani
(Mama)
Mama Chali Mama
(Mama)
Mama Sepetu Mama
(Iye eh)
Mama Kidoti Mama
Oh oh
Mama Diamond nyumbani
[Chorus]
(Mi nataka...)
Mi nataka kesho
Twende nikupeleke nyumbani
MI nataka kesho (oh oh oh oh oh)
Twende ukamuone mama (oh...oh oh)
Mi nataka kesho (oh oh oh oh oh)
Twende nikupeleke nyumbani (eh eh eh eh eh)
MI nataka kesho (ah...)
Twende ukamuone mama (yah...)
[Outro]
Ooh yah...
Ah yah...
Oh oh oh oh
Ah ah ah...
Oh, Mama Diamond
Oh oh, Mama Diamond
Oh oh oh
Hii...
Ah, hii...
Eh, ooh...
Oh oh
Mama Diamond
Oh oh, Mama Diamond
Na Mama, hii..
Hii...
Ooh...