Diamond Platnumz
Utamu
[Intro: Diamond Platnumz & Dully Sykes]
Studio 4.12
Ah, Baby de Antony
Ah, Handsome
Heh heh
Baby de Antony
Handsome
Tantara (Dimpoz kwa Pozi)
Tantara (Clever D, Clever D na Diamond)
Pozi kwa Pozi
Wasafi (na Diamond)
Pozi kwa Pozi
Wasafi (Dimpoz kwa Pozi)
Pozi kwa Pozi
Eh ah
Eh eh

[Refrain: Ommy Dimpoz]
Basi ndio ule utamu
Utamu
Ulonizidi hamu
Nami nikakupa peremende
Kama hauna nidhamu
Haramu
Nipe mambo matamu
Ila kama hutaki niende
Basi ndio ule utamu
Utamu
Ulonizidi hamu
Nami nikakupa peremende
Kama hauna nidhamu
Haramu
Nipe mambo matamu
Ila kama hutaki niende...
[Chorus: Diamond Platnumz]
Unavyokata utamu utamu
Ukicheka utamu utamu
Ukilia utamu utamu
Utamu utamu
Utamu utamu... (ah ah)
Unavyokata utamu utamu (ah ah)
Ukicheka utamu utamu
Ukilia utamu utamu (yeah ah)
Utamu utamu (yeah ah...)
Utamu utamu...

[Verse 1: Dully Sykes]
Uzuri wako kama wema pale kati
Nimekuta hata jiga hakupati
Hata wengine wakisema
Umeshatenda
Nami nakupenda kwa dhati
Na sura yako tamu kama joketi
Japo kuwa baby umekosa kidoti
Nami nipе tena
Kwa kitenda
Asa pale kwеnye busati

[Post-Verse: Dully Sykes]
Lemme say
Mami leo
Ninachomba onesha upeo
Unipe mambo ya kwenye video
Unipe maraha maradha mavitu ya dunia, hii...
Mami leo
Ninachomba onesha upeo
Unipe mambo ya kwenye video
Unipe maraha maradha mavitu ya dunia, hii...
[Chorus: Diamond Platnumz]
Unavyokata utamu utamu
Ukicheka utamu utamu
Ukilia utamu utamu
Utamu utamu
Utamu utamu... (ah ah)
Unavyokata utamu utamu (ah ah)
Ukicheka utamu utamu
Ukilia utamu utamu (yeah ah)
Utamu utamu (yeah ah...)
Utamu utamu...

[Verse 2: Dully Sykes]
Sitaki mwingine kipenzi ni wewe
Ni wewe
Mi e sitaki mwingine
Pistol yangu unaikoki
Unaanza kuishikashika
Na machozi ya kububujika
Mwishoni na yenyewe inakudedisha
Unaikoki mama
Unaanza kuishikashika
Na machozi ya kububujika
Mwishoni na yenyewe inakudedisha
Pah!
[Post-Verse: Dully Sykes]
Lemme say
Mami leo
Ninachomba onesha upeo
Unipe mambo ya kwenye video
Unipe maraha maradha mavitu ya dunia, hii...
Mami leo
Ninachomba onesha upeo
Unipe mambo ya kwenye video
Unipe maraha maradha mavitu ya dunia, hii...

[Bridge: Diamond Platnumz & Ommy Dimpoz]
Handsome
Yule mtoto wa kariako
Awesome
Collabo na Diamond
Handsome
Yule mtoto wa kariako
Na Diamond
Eh eh ah (Pozi kwa Pozi)
Handsome
Yule mtoto wa kariako (Pozi kwa Pozi)
Awesome
Collabo na Diamond
Handsome
Yule mtoto wa kariako (ah...)
Na Diamond

[Chorus: Diamond Platnumz]
Unavyokata utamu utamu
Ukicheka utamu utamu
Ukilia utamu utamu
Utamu utamu
Utamu utamu... (ah ah)
Unavyokata utamu utamu (ah ah)
Ukicheka utamu utamu
Ukilia utamu utamu (yeah ah)
Utamu utamu (yeah ah...)
Utamu utamu...

[Refrain: Ommy Dimpoz]
Basi ndio ule utamu
Utamu
Ulonizidi hamu
Nami nikakupa peremende
Kama hauna nidhamu
Haramu
Nipe mambo matamu
Ila kama hutaki niende
Basi ndio ule utamu
Utamu
Ulonizidi hamu
Nami nikakupa peremende
Kama hauna nidhamu
Haramu
Nipe mambo matamu
Ila kama hutaki niende...

[Middle 8: Dully Sykes]
Kama ningeweza
Uje ishi nami huku Dar
Ningeweza
Uje ishi nami huku Dar
Kama ningeweza
Uje ishi nami huku Dar
Ningeweza
Uje ishi nami huku Dar
Kama ningeweza
Uje ishi nami huku Dar
Ningeweza
Uje ishi nami huku Dar
Kama ningeweza
Uje ishi nami huku Dar
Ningeweza
Uje ishi nami huku Dar