Diamond Platnumz
Ntampata Wapi
[Intro]
Clever Touch
Wasafi...
[Verse 1]
Sura yake m'taratibu
Mwenye macho ya aibu
Kumsahau najaribu
Ila namkumbuka sana
Umbo la'ke mahbibu
Kwenye maradhi alionitibu
Siri yangu ukaribu
Bado namumbuka sana
[Pre-Chorus]
Alionifanya silali (eh)
Jua kali (eh)
Nitafute tukale
Lakini hata hakujali
Darling
Akatewa na wale
Alionifanya silali (eh)
Jua kali (eh)
Nitafuta tukale
Ila wala hakujali
Darling
Ah ah...
[Chorus]
Ntampata wapi
Kama yule
Niliompendaga sana
Ntampata wapi
Kama yule
Unanipenda sana
Ntampata wapi
Kama yule
Niliompendaga sana
Ntampata wapi
Kama yule
Unanipenda sana
[Verse 2]
Ah
Ah, nyota
Nyota ndo tatizo langu
Eh, nyota
Hadi nalia peke yangu
Ah, nyota
Nyota ndio shida yangu
Nyota
Wamenizidi wenzangu
Alidanganywa na wale (wale)
Wenye pesa nyumba garri (garri)
Mi kapuku hakunijali (jali)
Akanikimbia
Alidanganywa na wale (wale)
Wenye pesa nyumba garri (garri)
Mi kapuku hakunijali (jali)
Akanikimbia
[Pre-Chorus]
Alionifanya silali (eh)
Jua kali (eh)
Nitafute tukale
Lakini hata hakujali
Darling
Akatewa na wale
Alionifanya silali (eh)
Jua kali (eh)
Nitafuta tukale
Ila wala hakujali
Darling
Ah ah...
[Chorus]
Ntampata wapi (oh, wapi)
Kama yule (eh)
Niliompendaga sana
Ntampata wapi (napenda sana)
Kama yule (oh, sana)
Unanipenda sana (eh...)
Ntampata wapi
Kama yule (napenda sana)
Niliompendaga sana
Ntampata wapi (napenda sana)
Kama yule (oh, sana)
Unanipenda sana (e...)
[Middle 8]
Bado ananijia ndotoni (bado)
Kila nikimka simwoni (bado)
Bado ananijia nkilala (bado)
Haki ya Mungu si o masiala
Bado ananijia ndotoni (bado)
Kila nikimka simwoni (bado)
Bado ananijia nkilala (bado)
Haki ya Mungu si o masiala
[Outro]
Yo, Touch Clever (bado)
Hii ni Sauti wa Raisi (bado)
Ilomshindaga ibilisi (bado)
Kwa mwanadamu si o rahisi
Na wambie (bado)
Lazima ujue kutofautisha (bado)
Kati ya msalaba na jumlisha (bado)
Kuna X ya kuzidisha (bado)
Ni cheche
Bado ananijia nkilala
Haki ya Mungu si o masiala