[Intro: Diamond Platnumz & Shetta]
Burn Records
Oh oh, oh oh
Wasafi
Clever Touch
Platnumz
It's your boy She, Shetta de Shetta de Shetta
Yo, Baba Kaila
Ha ha
Kaila
Yeah
[Verse 1: Shetta, Diamond Platnumz, Both]
Kwanza umejazika
Kama mlima kitonga
Hapo mpaka mabitozi wanajigonga
Figure matata na kweli umekwenda skonga
Je napokumiss napu-call tunabonga
(Hello) Hello
We ndio Mamitto (mitto)
Amini mi ndio Papito (pito)
Okay
Ah, we ndio Mamitto
Achana nao ya dunia yote mapito (mmmh)
Okay (yes)
Ah, we ni bonge la demu (demu)
Hata machizi wamesema bonge la shemu (shemulake)
Amini we ni bonge la demu
Tupendane tupeane yaani kila sehemu
[Pre-Chorus: Shetta & Diamond Platnumz]
(And that's wassup)
We ndio Mama Kaila (Kaila)
Of coursе mi ndio Baba Kaila (Kaila)
(Yo, Baba Kaila)
Amini we ndio Mama Kaila
Achana nao wanaokufata wote ni mataila
Ha
[Chorus: Diamond Platnumz & Shetta]
Oh
We ni wangu tuu
Tеna waambie
Watuache tulale
We ni wangu tuu
Usije niacha
Nikachekwa na wale
Ona naimba
Kerewa, kerewa (hayaya)
Kerewa, kerewa (hayaya)
Kerewa, kerewa (hayaya)
Ah, kerewa
Ayayaya (ooh ooh ooh...)
Kerewa, kerewa (hayaya)
(Ah ah, katika)
Kerewa, kerewa (hayaya)
(Katika)
Kerewa, kerewa (hayaya)
(Okay)
Ah, kerewa (ha)
Ayayaya (ooh ooh ooh...)
[Verse 2: Shetta, Diamond Platnumz, Both]
Yo, umenipa nafasi sitaki nikose (yes)
Sitaki mwendo kasi, sitaki nipote (mhmm)
Changanya kila kitu mpaka nikole (uhn)
Mi ni wako kila siku nipoke, ay
Jua kweli nakupenda mama
Siwezi kukuigiza drama (mhmm)
Vicheche nawakatalia sana
Na nafurahia pia unabania wana (mhmm)
Wangawanga wanasema unifai kabisa (oh oh)
Wanatamani nikuache kwa visa (oh oh)
Wengine wanataka nikuuze ka hisa (hey)
Ila mchizinimegoma sikuachi kabisa (ah ah)
[Pre-Chorus: Shetta & Diamond Platnumz]
(Ah, yeah)
We ndio Mama Kaila (Kaila)
Of course mi ndio Baba Kaila (Kaila)
(Yo, Baba Kaila)
Amini we ndio Mama Kaila
Achana nao wanaokufata wote ni mataila
Ha
[Chorus: Diamond Platnumz & Shetta]
Oh
We ni wangu tuu
Tena waambie
Watuache tulale
We ni wangu tuu
Usije niacha
Nikachekwa na wale
Ona naimba
Kerewa, kerewa (hayaya)
Kerewa, kerewa (hayaya)
Kerewa, kerewa (hayaya)
Ah, kerewa
Ayayaya (ooh ooh ooh...)
Kerewa, kerewa (hayaya)
(Ah ah, katika)
Kerewa, kerewa (hayaya)
(Katika)
Kerewa, kerewa (hayaya)
(Okay)
Ah, kerewa (ha)
Ayayaya (ooh ooh ooh...)
[Bridge: Diamond Platnumz]
Ah
Sa usiniumize basi (hayaya)
Ukanipa wasi wasi (hayaya)
Ah, kaugonjwa ka nafsi (hayaya)
Moyo ukanienda kasi (hayaya)
Sa usiniumize basi (hayaya)
Ukanipa wasi wasi (hayaya)
Ah, kaugonjwa ka nafsi (hayaya)
Moyo ukanienda kasi (hayaya)
Ah, si unajua
Wenye chuki na hiyana
Wametukania sana
Sana usiku na mchana
Wakiomba kuachana
So usiniumize basi (hayaya)
Ukanipa wasi wasi (hayaya)
Na kaugonjwa ka nafsi (hayaya)
Moyo ukanienda kasi (hayaya)
Ooh ooh ooh
[Outro: Shetta]
(Hayaya)
Yo, Baba Kaila
Ha ha (hayaya)
Yo, Chief Q mbe
I don't forget, I got my boy Dangote (hayaya)
Kijumu Stage
Wassup (hayaya)
Angalia mbele
(Burn Records)