Diamond Platnumz
Nalia Na Mengi
[Verse 1: Diamond Platnumz]
Mi niliambiwa mapenzi ni kama bahari
Ukishazama ndo basi umepotea
Kumbe mwenzangu alikuwa anatamani
Badala ya kuzama mi kwangu akaelea
Akawa ananidanganya
Nikiwa nadhani ananipenda sana
Mikwanja nikamwaga mama
Japo sio kivile la kuongea maana
Akawa ananidanganya
Nikiwa nadhani ananipenda sana
Mbona mifedha nikamwaga mama
Japo sio kivile ila hakuongea maana
Wakaja wajinga wakamchukua
Waka-muhongahonga mwisho wakamnunua
Wajinga wakamchukua
Waka-muhongahonga mwisho wakamnunua, ayayaya...
[Chorus: Diamond Platnumz & Chidi Benz]
Usinione nalia (rrah)
Usinione nalia (rrah)
Mwenzenu nalia na mengi
Usinione nalia (rrah)
Naila... (rrah)
Sababu ya mapenzi
Usinione nalia (rrah)
Nalia... (rrah)
Nalia na mengi
Ooh, jamani nalia (rrah)
Nalia... (rrah)
Sababu ya mapenzi
[Verse 2: Diamond Platnumz]
Najua alimaanisha kuwa simfai
Ila lakini angesema
Kuliko alichofanya mi akantoa nishai
Akanimeza akanitema
Nyie mapenzi yanauma vibaya
Vibaya, vibaya
Mmmh, mapenzi yanauma vibaya
Vibaya, vibaya...
Ile gafra safari
Ndio inanifanya na usingizi sipati
Huwa nakumbuka mbali
Hasa nikisikia harufu yake ya marashi
Mi kwa chungu nilivyoumia
Nikaandika hili song la mwondoko nalia
Na voko nikaingiza kwa hisia na imani
Ipo siku nyimbo itamfika
Mi kwa uchungu nilivyoumia mie
Nikaandika song la mwondoko nalia
Na voko nikaingiza kwa hisia na imani
Ipo siku nyimbo itamfikia, ayayaya...
[Chorus: Diamond Platnumz & Chidi Benz]
Usinione nalia (rrah)
Usinione nalia (rrah)
Mwenzenu nalia na mengi
Usinione nalia (rrah)
Naila... (rrah)
Sababu ya mapenzi
Usinione nalia (rrah)
Nalia... (rrah)
Nalia na mеngi (ye, yeah)
Ooh, jamani nalia (ye, yе)
Nalia... (rrah)
Sababu ya mapenzi
[Verse 3: Chidi Benz]
Usione nakosa raha mama na lala ma kwako mara kadhaa
We ni msaada kwenye tuta so ukichomoka balaa
Sijiwezi kwangu giza naweza kimbiza na hii taa
Na hilo unajua inavyoumiza ushashuhudia mara kadhaa
Nwenu wezi wakung'ang'anie ninung'unike nilie
Nija yetu mmoja niache nipite si ukasimulie
Mama ya kinyamwezi na swaga zako juu
Na miguu napata picha kitandani kungfu
Uko juu ukipita lazima wasome namba
We ndo mfano hata unajua neno pamba sifaa
Kwa kitambo ntakulinda kama mkinga mwenye shamba
Mikogo kila leo ntajigamba
Nusonge kisela piga teke inauma
Usiombe mapenzi yakupige teke inauma
Usiombe mapenzi yakupige teke, eh
Bounce
[Chorus: Diamond Platnumz & Chidi Benz]
Usinione nalia (rrah)
Usinione nalia (rrah)
Mwenzenu nalia na mengi
Usinione nalia (rrah)
Naila... (rrah)
Sababu ya mapenzi
Usinione nalia (rrah)
Nalia... (rrah)
Nalia na mengi
Ooh, jamani nalia (rrah)
Nalia... (rrah)
Sababu ya mapenzi
[Outro: Chidi Benz]
Ah ah ah ah ah ah ah
Ah
Ah
Oh oh oh oh oh oh oh
Oh
Oh
Ah ah ah ah ah ah ah
Ah
Ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah
Ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji ji