Diamond Platnumz
Mdogo Mdogo
[Verse 1]
Ah
Oh, nimetembea tembea
Bara na visiwani
Ila nikajonea
We ndio my number one
Natamani nikupe ila sina...
Nimejaliwa upendo hajima...
Maneno yao matamu
Yasikuibe mama
Si unajua binadamu
Wabaya sana
[Refrain]
Wana wivu hao (hao, hao)
Wachonganishi hao (hao, hao)
Wana wivu hao (hao, hao)
Wachonganishi hao (hao, hao)
[Pre-Chorus 1]
Usije niacha kwa uyonge
Nachechemea
Utamu wa finyango na tonge
Ukanielemea
Usije niache kwa uyonge
Nachechemea
Utamu wa finyango na tonge ukala kwangu
[Chorus]
Mwendaazimu kaingiaje
(Asije kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje
(Akanikatia na Uhondo)
Mwendaazimu kaingiaje
(Kitorondo, kitorondo, eh)
Mwendaazimu kaingiaje
(Ikinasa mpaka uondoe)
Mwendaazimu kaingiaje
(Oh, kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje
(Akanikatia na Uhondo)
Mwendaazimu kaingiaje
(Ikawa nyumba ya shetani)
Mwendaazimu kaingiaje
[Verse 2]
Ah, kidogo nikileta Mumypti usinune
Nikumbatie unikiss nijivune
Kesho nizidishe ufanisi nijitume
Tujenge hadi nyumba Paris Wanune
Vimichezo michezo vya Saloon chunga wakipanga
Wasije kukufunza vya uhuni ukawa unadanga
Tai
Ukaanza safari
Mchana jua kali
Usiku haulali
Aya...
Oh, ukaanza safari (eh)
Mchana jua kali (eh)
Usiku haulali
Ayaya
[Refrain]
Wana wivu hao (hao, hao)
Wachonganishi hao (hao, hao)
Wana wivu hao (hao, hao)
Wachonganishi hao (hao, hao)
[Pre-Chorus 2]
Oh, ukaanza safari (eh)
Mchana jua kali (eh)
Usiku haulali
Ayaya
[Chorus]
Mwendaazimu kaingiaje
(Asije kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje
(Akanikatia na Uhondo)
Mwendaazimu kaingiaje
(Kitorondo, kitorondo, eh)
Mwendaazimu kaingiaje
(Ikinasa mpaka uondoe)
Mwendaazimu kaingiaje
(Oh, kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje
(Akanikatia na Uhondo)
Mwendaazimu kaingiaje
(Ikawa nyumba ya shetani)
Mwendaazimu kaingiaje
[Interlude]
Vipi tena?
Hai tena kwa ndio tuu kwabiwa
Asante
Thomas
[Bridge]
Mdogo mdogo (tai)
Mdogo mdogo (ah, usijali mama)
Mdogo mdogo (we wacha waonge)
Mdogo mdogo (usiku na mchana)
Mdogo mdogo (ah, mpaka wayonge)
Mdogo mdogo (na ntakupenda sana)
Mdogo mdogo (Mahaba ninyonge)
Mdogo mdogo (sijali lawama)
Mdogo mdogo (acha wanizonge)
Mdogo mdogo (oh, kachiri kachiri)
Mdogo mdogo (kachiri we ngao yangu)
Mdogo mdogo (mwenzako taabani)
Mdogo mdogo (nilinde roho yangu)
Mdogo mdogo (wasije wa furani)
Mdogo mdogo (wakaiba tamu yangu)
[Chorus]
(Wasafi...)
Aga mwendaazimu kaingiaje
Ah, mwendaazimu kaingiaje
Ah, mwendaazimu kaingiaje
Oh, mwendaazimu kaingiaje
(Mdogo mdogo, mdogo mdogo)
Aga mwendaazimu kaingiaje
(Mdogo mdogo, mdogo mdogo)
Ah, mwendaazimu kaingiaje
(Mdogo mdogo, mdogo mdogo)
Ah, mwendaazimu kaingiaje
(Mdogo mdogo, mdogo mdogo)
Oh, mwendaazimu kaingiaje
[Outro]
Ha ha
Mwendo abi palaa