Diamond Platnumz
Leka Dutigite
[Intro: Linex & Recho Kizunguzungu]
Kigoma
Ah eh, Kigoma we, ah (tunayo furaha)
Leka dutigite (Tudd Thomas)

[Chorus: Linex with All]
Tunayo furaha
Kuwa wazawa Kigoma
Leka dutigite
Wishala mwineke
Tunayo furaha
Kuwa wazawa Kigoma
Leka dutigite
Wishala mwineke

[Verse 1]
Ommy Dimpoz:
K, K
K, K-Town
Kasulu ndio baba alipozaliwa
Oh, japo nipo Dar
Naupenda mkoa wangu
K, K
Kigoma
Kama vipaji tumejaliwa
Kaseja na Lunya
Fahari mkoa wangu
Amawesele
Hivilibwani vikulava kadwumba (Pozi kwa Pozi)
KIgoma mkoa wangu
Ndio fahari yangu
Muki:
Ardhi yenye rutuba
Ya kustawisha chelewa
Gombe na mahali wenye sokwe wasiolewa
Kigoma inapendeza sana
Twashukuru hivi ndivyo ninavyosema

AbduKiba:
Nina furaha (mbuga zetu)
Nina furaha (makumbusho yetu)
Nina furahi
Hey
Nina furaha...

[Chorus: Linex with All, Mwasiti]
KIgoma
Ah eh, Kigoma we, ah (Kigoma)
Leka dutigite
Wishala mwineke
Kigoma
Ah eh, Kigoma we, ah
Leka dutigitе
Wishala mwineke

[Verse 2]
Chegе:
Kigoma ndipo nilipotka...
Nimekuja Dar kutafuta...
Siku zote nitawakumbuka...
Najivunia na sitajuta... (nakumbuka)
Nakumbuka mama alisema... (nakumbuka)
M'kata kwao mtumwa (datugite)
Recho Kizunguzungu:
Kigoma inatamba
Tanganyika inabamba
Tufurahi
Tusherekere pamoja

Mwasiti:
Twajivunia...
Kigoma...
Tunamshukuru maulana...

Fred Wayne:
Kigoma lango la Tanzania
Bandari kwa kahawa shaba kwa matania
Amani kwa wazawa Kasulu, Kibondo, Ubunza
(Avandu bakundi vikogwa)

Baba Levo:
Ziwa refu tunalo (ah hoo ha)
Na madini tunayo (ah hoo ha)
Tuna mbuga za wanyama kama Gombe na Mahale
Ardhi safi tunayo (ah hoo ha)
Na vipaji tunavyo (ah hoo ha)
Sauti safi tena tamu,tamu
Tamu, tamu
Vigelegele na mushamu shamu
Shamu, shamu
Kigoma yetu mambo bam bam
Bam bam
Banana Zorro:
Meli ya Lyemba
Wanasiasa Mashujaa
Watetezi wa Taifa
Kigoma tunatoke wote master, yeah
Ms. Tanzania K-Iynn, yeah
Kaseba champion, yeah

[Chorus: Linex with All, Banana Zorro]
Leka dutigite
Wishala mwineke
Tunayo furaha
Kuwa wazawa Kigoma
Leka dutigite
Wishala mwineke
Kigoma
Ah eh, Kigoma we, ah
Leka dutigite
Wishala mwineke
Kigoma
Ah eh, Kigoma we, ah
Leka dutigite
Wishala mwineke (oh oh oh, yeah)

[Verse 3]
Diamond Platnumz: with Recho Kizunguzungu
Kule kwetu migebuka
Ah
Wese na ugali wa muhogo
Aga wa muhogo
Ndio vimenifanya nikawa Diamond
Kwa vitenge na mashuka
Ah
Mise na chomvi kidogo
Aga kidogo
Na tena mbuga nikawa mfalme
Tena Kigoma ya sasa
Sio kama ya zamani
Kigoma ya leo
Imesonga mbele
Kuzebazeba ya sasa
Sio kama ya zamani
Kasulu ya leo
Hii...

Peter Msechu:
Amani na upendo
Ndio lugha ya Kigoma
Kigoma, ishagoma
Kigoma, yaende mbele
Rangi yako ya kijani
Upendo wako ni mwanana
Kigoma, nakupenda
Kigoma, unanipenda

Queen Darleen:
Amani itawale (Kigoma)
Amani itimie (Kigoma)
Amani mlinda (Kigoma)
Shigoma
Kigoma
Amani itawale (Kigoma)
Amani itimie (Kigoma)
Amani mlinda (Kigoma)
Shigoma
Kigoma

[Interlude: Peter Msechu]
Kigoma
Shukrani Kigoma...
Kigoma
Nyumbani Kigoma...

[Chorus: Linex with All]
Tunayo furaha
Kuwa wazawa Kigoma
Leka dutigite
Wishala mwineke
Tunayo furaha
Kuwa wazawa Kigoma
Leka dutigite
Wishala mwineke
Kigoma
Ah eh, Kigoma we, ah
Leka dutigite
Wishala mwineke
Kigoma
Ah eh, Kigoma we, ah
Leka dutigite
Wishala mwineke
Kigoma
Ah eh, Kigoma we, ah
Leka dutigite
Wishala mwineke
Kigoma
Ah eh, Kigoma we, ah
Leka dutigite
Wishala mwineke
Kigoma
Ah eh, Kigoma we, ah
Leka dutigite
Wishala mwineke