Diamond Platnumz
Nyumbani
[Refrain: Mwasiti & Ali Kiba]
Si mama wote wakina mama (Tudd Thomas)
Si mama wakina baba
Na tusimane wote vijana
Kwa pamoja wote si mama... (kuilinda Tanzania)

[Chorus: All]
Tushikamane, wote tusonge mbele
Tushikamane mikono tusonge mbele
(Nyumbani, nyumbani)
Tushikamane, wote tusonge mbele
Tushikamane mikono tusonge mbele
(Nyumbani, nyumbani)

[Verse 1]
Linex:
Tazama ramani utaiona nchi nzuri
Yenye mito na milima
Mabonde ya nafaka
Kama maziwa tunayo (hey)
Bahari tunayo (hey)
Vity vyote tunavyo
Vya kupendeza macho

Mwasiti:
(Tanzania)
Faraja taifa langu (ooh ooh)
Lenye uhuru wake wenye amani (amani, amani)
Tazama tunavyojisikia amani (ooh ooh)
Tunavyo hapa nyumbani (nyumbani, nyumbani)
Ommy Dimpoz:
Yote ni ya Nyerere baba (Nyererе)
Kambarage amedumisha amani na upendo
(Nyеrere, Nyerere, Nyerere)
Taifa Tunajivunia baba (baba)
Utu wetu
Uadilifu na uzalendo

Muki:
Watoto
Wakubwa
Letu liwe ni moja
Inabidi tupendane tuwe pamoja...

[Chorus: All]
Tushikamane, wote tusonge mbele
Tushikamane mikono tusonge mbele
(Nyumbani, nyumbani)
Tushikamane, wote tusonge mbele
Tushikamane mikono tusonge mbele
(Nyumbani, nyumbani)

[Verse 2]
Recho Kizunguzungu:
Uhuru ulipo patikana
Baba wataifa alipo si mama
Tanganyika na Zanzibari umoja
Ndipo ulipo patikana...
Diamond Platnumz:
Mmmh, ah
Naiona uhuru yenye upendo mwingi
Nikitazama
Katikati ya mboni zangu (ah, naiona)
E mora nilinde niishi miaka mingi
Na mtunze na mama
Na uitunze na nchi yangu
Na uwambie mimi (Tanzania)
Japo masikini (Tanzania)
Oh, waambie mimi

Maunda Zorro:
Najivunia kuwa m'Tanzania
Kila kitu tunacho Tanzania
Amani vivutio pia

AbduKiba:
Tanzania nchi ya amani
Amani tele duniani
Enyi Africa
Igeni mfano wa kuigwa
Africa, whoa, whoa, whoa
Africa ya ya ya
Africa jamani
Igeni mfano wa kuigiwa
Fred Wayne:
Acha nile sato nijidai juu ya mawe
Walahi hapa mbuga zetu twenzetu
Nitakufa nawe (amani)
Tena wacha nifuachi rahii (amani, amani)

Banana Zorro:
Home sweet home
I'm proud to be home (Ali Kiba: sweet home)
Najivunia kuwa m'Tanzania

Ali Kiba:
Tanzania, oh
Tuunu zetu uTanzania wetu
Uhuru na umoja
Wote tuna uzalendo
Uadilifu wetu
Na uwajibikaji
Kwa taifa Tanzania si mama...

[Chorus: All]
Tushikamane, wote tusonge mbele
Tushikamane mikono tusonge mbele
(Nyumbani, nyumbani)
Tushikamane, wote tusonge mbele
Tushikamane mikono tusonge mbele
(Nyumbani, nyumbani)
Tushikamane, wote tusonge mbele
Tushikamane mikono tusonge mbele
(Nyumbani, nyumbani)
Tushikamane, wote tusonge mbele
Tushikamane mikono tusonge mbele
(Nyumbani, nyumbani)

[Verse 3]
Chege:
Vijana tupo kulijenga taifa (kulijenga taifa)
Vijana hatupo kuanzisha vita (eh, eh, eh)
Tushikane mikono wote tuinue juu (juu...)
Kuonyesha upendo wetu tulokua nao
Mbuga zetu za sadani tuka tembele
Twenzetu ngoro ngoro tuka tembele
Zanzibari, kwa berry black (twende)
Mwariza kwenye miamba ya mawe (twende)

Peter Msechu:
Kilugha si apu tawe tumiliza
Uzuri wako umepitiliza
(Ona) Pamba
(Ona) Karafuu
(Ona) Africa
Tanzania inapendenza

Baba Levo:
Heh hey, heh heh
Sijuti kuzaliwa hapa (Tanzania)
Amani na upendo vyote vipo hapa (Tanzania)
Rushwa hatukutaki hapa (Tanzania)
Unafanya masikini tuna tapatapa

Queen Darleen:
Ayayaya
Mkwawa, mirambo kinjekitire (Ngwale)
Katikati kuna Nyerere
Sawa
Sawa
Sawa, sawa, sawa (nyumbani, nyumbani)

[Refrain: Mwasiti & Ali Kiba]
Si mama wote wakina mama
Si mama wakina baba
Na tusimane wote vijana
Kwa pamoja wote si mama... (kuilinda Tanzania)

[Chorus: All]
Tushikamane, wote tusonge mbele
Tushikamane mikono tusonge mbele
(Nyumbani, nyumbani)
Tushikamane, wote tusonge mbele
Tushikamane mikono tusonge mbele
(Nyumbani, nyumbani)

[Outro: Diamond Platnumz]
Na uwambie mimi (Tanzania)
Japo masikini (Tanzania)
Oh, waambie mimi (Tanzania)
Nanipenda sana (Tanzania)
Oh...waambie mimi (Tanzania)
Na japo sina mbele wale nyumba (Tanzania)
Oh, waambie mimi (Tanzania)
Nanipenda sana (Tanzania)
(Nyumbani, nyumbani)