Diamond Platnumz
Kizaizai (Remix)
[Intro: Linah Sanga]
Tudd Thomas
Oh oh oh oh oh
Hey
[Verse 1: Linah Sanga]
Yanaanza kama safari
Twende fulani ukaone
Kumu yana nguvu ni hatari
Ukishanasa ndio uponi, eh
Yanaanza kama safari
Twende fulani ukaone
Kumu yana nguvu ni hatari
Ukishanasa ndio uponi, eh
[Pre-Chorus: Linah Sanga]
Mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya mwenzako sikia omba yasikupate (hey)
Mungu aliumba dunia na maajabu yake... (hey)
Ya mwenzako sikia
Ila yasikupate...
[Chorus: Diamond Platnumz with Linah Sanga]
(Kizaizai)
Nyie mapenzi yanauma (Kizaizai)
Yanaumiza (Kizaizai)
Oh, kizunguzungu (KIzaizai)
Jama mapenzi mabaya (Kizaizai)
Weza gombana na Ndugu (Kizaizai)
Rafiki akawa Mubaya (Kizaizai)
Kazi ukaona chungu (Kizaizai)
Nyie mapenzi karaha (Kizaizai)
[Interlude: Linah Sanga]
Hey...
[Verse 2: Linah Sanga]
Yanayima furaha
Mmmh
Yanakosesha raha
Hey
Yanayima furaha
Oh oh oh oh oh
Yanakosesha raha
Hey
Tena usiombe kupenda
Ulie mpenda ajue
Tena usiombe kupenda
Ulie mpenda ajue
Amani utakosha Karaha jamani...
Dunia tena chungu kufa utatamani...
[Pre-Chorus: Linah Sanga]
Mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya mwеnzako sikia omba yasikupate (hey)
Mungu aliumba dunia na maajabu yake... (hеy)
Ya mwenzako sikia
Ila yasikupate...
[Chorus: Diamond Platnumz with Linah Sanga]
(Kizaizai)
Nyie mapenzi yanauma (Kizaizai)
Yanaumiza (Kizaizai)
Oh, kizunguzungu (KIzaizai)
Jama mapenzi mabaya (Kizaizai)
Weza gombana na Ndugu (Kizaizai)
Rafiki akawa Mubaya (Kizaizai)
Kazi ukaona chungu (Kizaizai)
Nyie mapenzi karaha (Kizaizai)
[Interlude: Linah Sanga]
Hey...
[Middle 8: Diamond Platnumz with Linah Sanga]
Ah, tai
Basi nitulize, nitulize
Nitulize, nitulize
Nitulize, nitulize
Nibaki nimetulia
Nitulize, nitulize
Nitulize, nitulize
Nitulize, nitulize
Nibaki nimetulia
Nitulize, nitulize
Nitulize, nitulize
Nitulize, nitulize
Nibaki nimetulia
Nitulize, nitulize
Nitulize, nitulize
Nitulize, nitulize
Nibaki nimetulia
[Bridge: Diamond Platnumz]
Ah, na nina ugonjwa (wa moyo, wa moyo)
Oh, sili silali (wa moyo, wa moyo)
Oh, Sanga tafadhali (wa moyo, wa moyo)
Ah, ni pozi hili hali (wa moyo, wa moyo)
[Chorus: Diamond Platnumz with Linah Sanga]
(Kizaizai)
Nyie mapenzi yanauma (Kizaizai)
Yanaumiza (Kizaizai)
Oh, kizunguzungu (KIzaizai)
Jama mapenzi mabaya (Kizaizai)
Weza gombana na Ndugu (Kizaizai)
Rafiki akawa Mubaya (Kizaizai)
Kazi ukaona chungu (Kizaizai)
Nyie mapenzi karaha (Kizaizai)
[Outro: Linah Sanga]
Kizaizai
Kizaizai
Kizaizai
Kizaizia (Thomas on the beat)