Diamond Platnumz
Nimechoka
[Intro: K. Sher]
Ooh ooh ooh ooh ooh ooh...
(A-A-A, AM Records)
Ah ah ah ah ah... (ah ah ah ah ah ah ah)
Hey... (ah ah ah ah ah ah)
Oh oh oh oh oh...

[Verse 1: K. Sher]
Nimekuja ka vipi jibu utanipa
Mapenzi yako wapi ulohidi utanipa
Furaha kwangu imegeuka karaha
Uongo kwako umegeuka ukweli, baba...

[Pre-Chorus: K. Sher]
Ukweli ndio msingi wa maisha
Uongo ni kikwazo cha maisha
Furaha ndio raha ya maisha
Huzuni ni karaha ya maisha, baba...

[Chorus: K. Sher]
Nimechoka
Nimechoka...
Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh...
Nimechoka
Nimechoka...
Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh...
[Verse 2: K. Sher]
Kama siku ile uliporudi nyumbani
Ukasahau unampira tunzoni
Nikakuliza jana ulikuwa na nani
Ukashindwa jibu ukabaki umeduwa, baba...

[Pre-Chorus: K. Sher]
Ukweli ndio msingi wa maisha
Uongo ni kikwazo cha maisha
Furaha ndio raha ya maisha
Huzuni ni karaha ya maisha, baba...

[Chorus: K. Sher]
Nimechoka (ooh ooh ooh ooh ooh ooh...)
Nimechoka...
Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh...
(Ah ah ah ah ah...)
Nimechoka (hey...)
Nimechoka...
Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh...
(Oh oh oh oh oh... )

[Verse 3: Diamond Platnumz]
Tai
Hivi maneno yote
Nimechelewa nyumbani
Basi tushinde wote
Tuone ataleta nani
Na si unajua sinaga kabisa vimwaga pembeni
Ila huo umeme umesababisha foleni
Kumbe ndio maana una nu na nu na nu na tuu toka jana
Ila so vema mbele za watu kunitukana
Ndio maana una nu na nu na tuu toka jana
Ungesubiri hata chumbani tungеlewana
Oh oh oh oh (hey)
[Chorus: K. Sher & Diamond Platnumz]
Nimechoka (hеy)
Nimechoka... (usichoke...)
Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh...
(Oh oh oh, oh oh oh)
Nimechoka (usichoke)
Nimechoka... (usichoke)
Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh...
Nimechoka (nimechoka)
Nimechoka... (nimechoka...)
Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh...
Nimechoka (nimechoka)
Nimechoka... (nimechoka...)
Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh...

[Outro: Keisha & Diamond Platnumz]
Na na na na na na na na na na na na na na
Na na na na na na na na na na na na na na
Na na na na na na na na na na na na na na
Na na na na na na na na na na na na na na na