[Intro: Diamond Platnumz, ๐ ๐๐ข๐ฌ๐ฐ]
Mhh, eh eh
๐๐ข๐ณ๐ข๐ข๐ข!
(Leo lion simba na zombie wa mazombie)
We zombie!
(Leo lion simba na zombie wa mazombie)
Haujui
(Leo lion simba na zombie wa mazombie)
We zombie!
(Leo lion simba naโ)
Na Simba la masimba Dangote
[Verse 1: Diamond Platnumz]
Omalicha omalicha
Aki wowowo feki unatingisha
Unaona sifa tu misifa
We endelea kuzigida utazilipa
We jifanye born hapa mzaliwa
Na chako tukikitaka kinaliwa
Wanaโฆโฆ
Maziwa
Japo fululu ni matter unalia
[Pre-Chorus: Diamond Platnumz]
Kwanza poleni, poleni
Nawapa wote poleni
Nawatakia poleni
Nawasalia poleni
Ee, mlioachwa poleni
Mnaodai Poleni
Msio na baby poleni
Mkakojoe kalaleni
[Chorus: Diamond Platnumz]
Komando komando komando
Waambie sisi ndio vipensi komando
Komando, komando
Waambie sisi ndio vipensi komando
Komando, sisi komando
Waambie sisi ndio vipensi komando
Komando, komando
Waambie sisi ndio vipensi komando
[Refrain: Diamond Platnumz, ๐ ๐๐ข๐ฌ๐ฐ]
Ka Big G, yaani utamu ka Big G
Ka Big G, yaani utamu ka Big G
Ka Big G, yaani utamu ka Big G
(Komando sisi komando, waambie sisi ndio vipensi komando)
Ka Big G, yaani utamu ka Big G
(Komando, komando, waambie sisi ndio vipensi komando)
๐๐ฉ๐ฉ๐ฉ
[Verse 2: G Nako]
Kanifuma na katoto katanga
Kanifuma kametoka na khanga ghetto (Eh)
Kanifuma na katoto katanga
Kanifuma kametoka na khanga ghetto
Abah tii, abah wena
Oh my queen nipe tena
Hapa chini shuka tena
Ona nini? Unahema
Mchepuko leo nae kasalitiwa
Mke wa mtu sumu kuna maziwa
Kuna maziwa na kutaitiwa (Tiwa Savage)
Umelikwa umelikwa
We njoo na mpunga patakalika
Mashimo yote kanapita
Kwenye milima na mabonde panapitika
[Pre-Chorus: Diamond Platnumz]
Kwanza poleni, poleni
Nawapa wote poleni
Nawatakia poleni
Nawasalia poleni
Ee, mlioachwa poleni
Mnaodai
Poleni
Msio na baby poleni
Mkakojoe kalaleni
[Chorus: Diamond Platnumz]
Komando komando komando
Waambie sisi ndio vipensi komando
Komando, komando
Waambie sisi ndio vipensi komando
Komando, sisi komando
Waambie sisi ndio vipensi komando
Komando, komando
Waambie sisi ndio vipensi komando
[Refrain: Diamond Platnumz]
Ka Big G, yaani utamu ka Big G
Ka Big G, yaani utamu ka Big G
Ka Big G, yaani utamu ka Big G
(Komando sisi komando, waambie sisi ndio vipensi komando)
Ka Big G, yaani utamu ka Big G
(Komando, komando, waambie sisi ndio vipensi komando)
[Outro: G Nako]
Kanifuma na katoto katanga
Kanifuma kametoka na khanga ghetto (Eh)
๐๐ข๐ฎ๐ช๐น ๐๐ช๐ป๐ฆ๐ณ...