Conboi
Baby
Intro; (ibrah nation)
Aaaaaaah!!

Chorus : (ibrah nation)
Baby x4

Verse 1 (con boi)
Tulikutana couple of years back, wala sikudhani we'd go this far
Leo umenifanya naimba hii track, 'coz you my baby and i'm yo mister
I swear to god i go die for ya, hata ukilia i'll put a smile on ya
Na walioninikataa watashangaa kuona, sina kitu ila bado unafuraha mbona?
You're the best, we gonna die together kama vivi na complex
Whats next?!!! Nishakuvisha pete uwe wangu ondoa stress
Always tume chill kwenye crib si' wawili, love me usikariri love bites ndio dalili
Price tags za mamilli hata kama sina deal, if you want it come and get it if you love jam wit it . Huh!

Chorus ; (ibrah nation)
Baby x4

Verse 2 ; (ibrah nation)
I promise baby i won't let you down , sababu huko rohoni
Ukiniona unacheka, tabasamu usoni, iiiiiiiii
Ilibidi nami niwe gizani , mamy ukawasha taa
Hili penzi letu ni kwa hisani, ya mm na wewe mama

Hook ; (con boi)
Hold hands then we slow dance
Wanapiga makelele haya make sense!!!
Hold hands then we slow dance
Nami' kwako ndio crush so trust meeeeeee X2
Chorus ; (ibrah nation)
Baby x4

Outro. (Con boi)
Hold hands then we slow dance
Wanapiga makele haya make sense
Hold hands then we slow dance
Nami' kwako ndio crush so trust!!