Bamboo
Mapato
Mapato ft Bamboo - Wachuja Nafaka
...

[Chorus: Juma Nature]
Tunafanya kazi inayoonekana
Lakini oh wapi' faida haijaonekana
Tunafanya kazi inayoonekana
Lakini oh wapi' faida haijaonekana

[Verse 1: Abbas]
Asiyefunzwa na mamae' atafunzwa na mimi
Vunjwa (Uh-huh) na kuundwa na mimi
Ku chungwa' ka umefungwa lakini
Round hii MCs wanafukuzwa na mimi
Ka umeroga na raia hawajafurahia si we ni ghasia? na unajipandisia?
Sasa basi nipe nafasi' kiasi tu sivaangi Rasi lakini kazi ni kazi tu
Ngoma na zi do' safi ju watu wana ulafi
Na nisipofanya kazi' si basi nitakula makhwe
Mng'aro skuizi uwanga ni fundi na eko bana
Na si mgechanga mapesa nisaidieko bhana
Kama mrembo iko ah basi matembo ziko
Kwanza ni mchanganyiko' hakuna mabadiliko
Simu inalia' ka ni vipi sema sipo ( ring ) kama ni yule mwingine basi ntasema nipo' na ile hali niko' niyakuuliza watu nani mnoma kuniliko
Kuleni hiyo
Jhoo P