[Intro: Smady Tings]
(Solinga!)
Nawabugda za kivulai
Bongo, Moscow, ithaa ni July
Nawabugda za kivulai
Mbogi Genje
(SQ on the beat)
[Chorus: Smady Tings]
Genje streets, si unajua ni kuwamocho
Ni kirao, naraukia kuwamocho
Wamocho, riang ni kuwamocho
Wamocho, riang ni kuwamocho
Genje streets, si unajua ni kuwamocho
Ni kirao, naraukia kuwamocho
Wamocho, riang ni kuwamocho
Wamocho, riang ni kuwamocho
[Verse 1: Smady Tings]
Niko gwethe, niko zanabe, kana-kanashi
Nimepandisia mbanati juu ni nganyare
Kuna vile nimekanafi, nimebanashi
Mboto ni [?], juu niko na ki-shh
Saa ubaya nikinjanamo, ati renangwa
Makang'ethe nawandanasu juu niko masii
Malego na mnganazii, sosi na Mercy
Nawateki hadi wanatiii
Zikiwamocho, kang'a mpaka wanjivo
Mbogi yake ni ku-patch kama wagido
(Zikiwamocho, kang'a mpaka wanjivo)
(Mbogi yake ni ku-patch kama wagido)
[Chorus: Smady Tings and Guzman]
Genje streets, si unajua ni kuwamocho (Ni kuwamocho)
Ni kirao, naraukia kuwamocho (Ni kuwamocho)
Wamocho, riang ni kuwamocho (Ni kuwamocho)
Wamocho, riang ni kuwamocho (Wamocho)
Genje streets, si unajua ni kuwamocho (Ni kuwamocho)
Ni kirao, naraukia kuwamocho (Ni kuwamocho)
Wamocho, riang ni kuwamocho (Ni kuwamocho)
Wamocho, riang ni kuwamocho (Wamocho)
[Verse 2: Guzman]
Niko masongi, we tegea niji-mess
Na kunywaku, mi hurieng kuji-bless
Leo ngware, mi nastaga na aref
Kaa ibada, watazama ziki-arrest
Kwa ma-realer, mi nazi-releasе
Juu huwaga mi husema yut walini-breeze
Uwe rasclaat, chaji ki-smart
Niki-run [?] nakuwanga shida na
Za punya mi husakanga kwa giz
Toa chok ukizidingi kabisa
Dirty, mi siwеzi float, mi hu-go deeper
(Kuwamocho, Mbogi ni kuwamocho)
[Chorus: Smady Tings and Guzman]
Genje streets, si unajua ni kuwamocho (Ni kuwamocho)
Ni kirao, naraukia kuwamocho (Ni kuwamocho)
Wamocho, riang ni kuwamocho (Ni kuwamocho)
Wamocho, riang ni kuwamocho (Wamocho)
Genje streets, si unajua ni kuwamocho (Ni kuwamocho)
Ni kirao, naraukia kuwamocho (Ni kuwamocho)
Wamocho, riang ni kuwamocho (Ni kuwamocho)
Wamocho, riang ni kuwamocho (Wamocho)
[Verse 3: Mejja]
Yeah, yeah
Yeah
Mbuku jo, nimekula mbuku jo
System jo, imeninyima kazi jo
Degree yangu ni urembo jo
Mbogi jo, inataka dishi jo
Inabidi tuwateke, wamocho
Tupate za machwara, wamocho
Utanipata zabe, kanashi
Kuja na maini, si mabati
Nikichora vile nitateka tu wathii
Niite mkulima na mimea
Mkurugenzi wa kujipulizia
Kuwamocho ndio riba
[Chorus: Smady Tings and Guzman]
Genje streets, si unajua ni kuwamocho (Ni kuwamocho)
Ni kirao, naraukia kuwamocho (Ni kuwamocho)
Wamocho, riang ni kuwamocho (Ni kuwamocho)
Wamocho, riang ni kuwamocho (Wamocho)
Genje streets, si unajua ni kuwamocho (Ni kuwamocho)
Ni kirao, naraukia kuwamocho (Ni kuwamocho)
Wamocho, riang ni kuwamocho (Ni kuwamocho)
Wamocho, riang ni kuwamocho (Wamocho)
[Verse 4: Militan]
Racho bila nginyo ni kurianyu
Wolabed na 21 kaa rura
Wairuwa, kujirianyu na makugling
Mongrel, Moscow za kigangfa
Wavecro, daila ngyai ni warena
Ubra, wola yut tuko MG
Dormplay, machweng'a kila rengwa
Mbatco, ngwara, chude ngenje
Chimling, nawafling ka Aladdin
Wedepo, tuko depo wakiwamocho
Kianjete nauwo bree tukibambuka
Rakitić, kuwadalo wakiwamocho
[Chorus: Smady Tings and Guzman]
Genje streets, si unajua ni kuwamocho (Ni kuwamocho)
Ni kirao, naraukia kuwamocho (Ni kuwamocho)
Wamocho, riang ni kuwamocho (Ni kuwamocho)
Wamocho, riang ni kuwamocho (Wamocho)
Genje streets, si unajua ni kuwamocho (Ni kuwamocho)
Ni kirao, naraukia kuwamocho (Ni kuwamocho)
Wamocho, riang ni kuwamocho (Ni kuwamocho)
Wamocho, riang ni kuwamocho (Wamocho)
[Outro]
(Byron baby)