Microphone check one, one two (Musyoka)
[Verse 1]
Ukiwasha nare Mathare 'taonja vibare
Mi si mnati, si barbie, niko tu katikati
Staki kuskiza story za charity, charity
Nipe wings ni-defy-fy gravity, gravity
Sema oh
[Hook]
Juu tuko works mzeiya
Evacuate the area
Juu tuko works mzeiya
[Verse 2]
Serikali haijali
So naona mbwa kali afadhali
Dame amejam juu dough haikam
Na siwezi kum-show ati life ni exam juu
Ntatupiwa sufuria
Na hizo ni aibu ndogo ndogo mi sipendi
So nikikupita tao, tao
Jua sio madharau-rau
[Hook]
[Verse 3]
Nipe, nipe nafasi
Nikueleze kiasi
Vile sisi hufanya
Pande hii ya the tracks
Hatuchezi na kazi
Usipoteze wakati
Tumekunja mashati
[Hook x 5]