Just A Band
Matatizo
Aye aye aye
Ndugu yangu we
Usiwe na shaka
Mimi niko oo
Kitakacho tokea nitakusaidia
Matatizo oo-o
Ni ya kila mtu
Haya kuarifu yanapokujia
Yanapotokea nitakusaidia
Yaliponipata wengi walicheka sana
Kwangu mimi naona ni kawaida
Ndugu yangu mimi matatizo nimeyazoea
Kwangu mimi naona ni kawaida ya ya
Aye aye aye
Ndugu yangu we
Usiwe na shaka
Mimi niko o-o
Kitakacho tokea nitakusaidia
Kwangu mimi naona ni kawaida
Matatizo o-o
Ni ya kila mtu
Haya kuarifu yanapokujia
Yanapotokea nitakusaidia
Kwangu mimi naona ni kawaida ya ya
Ndugu yangu mimi matatizo nimeyazoea
Kwangu mimi naona ni kawaida
Kwangu mimi naona ni kawaida
Ndugu yangu mimi matatizo nimeyazoea
Yaliponipata wengi walicheka sana
Kwangu mimi naona ni kawaida
Ndugu yangu mimi matatizo nimeyazoea
Kwangu mimi naona ni kawaida ya ya