Nyashinski
KHONA (Cover) Coke Studio Africa
Hook
Ushanipata kwa (khona)
Maskani kwa (khona)
Jo Jo usipite io (khona)
Jo Jo usipite io (khona)

Aise Ushanipata kwa khona
Maskani kwa khona
Jo Jo usipite io khona
Jo Jo usipite io khona

Verse
Napitisha taxi io ni poa
Iturudishe mahali ilitutoa
Hii kitu ndani ya roho
Najua unaijua
Mpaka turudi home itatusumbua
Yeah
Baba ametulea na mila
Tukizipoteza itamuongeza hasira
Lakini si lazma tufiche (Naam)
Social media hatuezi jiaibisha (Naam)
Tufake lifestyle walike mapicha (Naam)
Hio ndio follower anaitisha kwa insta (gram)
Inafika hadi mahali
Unadharau nyumbani
Hio taxi unasema ebu itiishwe ikam
Hook 2
Dere usiulize (khona)
Twende straight usipige (khona)
Twende straight usipige (khona)
Twende straight usipige (khona)
Chunga hao vijana wamesmama kwa (khona)
Na ma hustler wamesmama kwa (khona)
Twende straight usipige (khona)
Twende straight usipige (khona)

Verse 2
Yeah
Paranoya inazidi
Inani convince vile sihitaji rafiki
Kwa kio mtu naona sio mimi
Kifunga macho najiona kwa TV
Labda keiki ataniona kwa TV
Labda hii keki ntaikula na nyinyi
Labda ntapebdwa na mashabiki
Labda maringo itaningia akili
Waniite star
Wanichoche niko frahi sana
Camera ziwake ma flash
Nianze kuona hii kitu
Naifanya na uwezo wangu
So that niliachanga kwenda church
Ka hio ndio u super star
Basi siipendi
Kaa huko ndiko tunaenda basi mi siendi
Geuza hii gari dere
Nirudushe huko mahali maishai ilikuaga simple
Hook 3
Dere nirudishe (khona)
Kwetu turudishe (khona)
Twende straight usipige (khona)
Twende straight usipige (khona)
Chunga hao vijana wamesmama kwa (khona)
Na ma hustler wamesmama kwa (khona)
Twende straight usipige (khona)
Twende straight usipige (khona)

Outro
Ushanipata kwa (khona)
Maskani kwa (khona)
Jo Jo usipige hio (khona)
Jo Jo usipige hio (khona)
Ushanipata kwa (khona)
Maskani kwa (khona)
Jo Jo usipige hio (khona)
Jo Jo usipige hio (khona)
Khona (khona)
Khona (khona)
Ni khona (khona)
Ni khona (khona)