Nyashinski
Whoopty (Freestyle)
[Intro]
Yeah (Pxcoyo killed this beat, bitch)
[Verse]
Just in case haikuwa clear, Shin forever top tier
Flow ni ya bomb ka Bosnia, boss, me, I can't show no fear
Took near 10 years off, nika-prove mi ni m-deadly of course
Sijawahi lose, kuna plenty of sauce, mi na-move design hauwezi copy yaani
Shoot ka Kobe ni true, hii shit ni hobby
I'm too good to be lonely, assume niko na kikosi
Assume mita moja haitoshi, online gossip haina doh, ki-tycoon
Bado all eyes on me, I'm who God blessed, I'm sorry, uh
Too old for that hoe shit, too cool to cosign your shit
Too busy so ni no sleep, too easy so sichoki
Stay fly, mi si I'm an ostrich, midlife nai-spend-ia coast, bitch
Hii ni ka ile smile ya gokish, ni chafu na ume-notice
Popular like your dope dealer, Shinchilla, usiwahi sahau jina
Beat killer, hawawezi nicheki, John Cena ako na dredi
Top n***a, hakuna kesi, Bismillah, bonya freshi
Supper ni hawa ma-emcee, kwangu nyi ni kazi nyepesi
Naeza shika beat ka any way, meza wembe ka una wivu ule
Anatafuta msee ka mi, ujue anajipea tu maumivu bure
Usijisumbue, hakuna mwingine, professional wa kitu ile
Hamtawahi someshwa kwa hizi shule
Hamtawahi nisongesha, mi ni ule msee
Ni kugenje- ahahaha! Kwisha!