Fid Q
Masta (Intro)
[Intro]
Wimbo wa kwanza kabisa kuusikia, ulikuwa ni huyu na yule...
Hazungumzii mapenzi, Bali anazungumzia jamii kwa ujumla...
Sio mtu ambaye kwamba analenga tu soko kama watu wengine...
Vitu kama pesa na vitu kama hivyo..
Ni mtu ambaye anafanya kile ambacho.. Jamii inataka kukipata..

Unaweza lala na bundi na ukaamka mwenye bahati/
Usilale fofofo, Ruzuku yako itakwisha/
Utatembea hovyo, Ka kuku alokatwa kichwa/

Hakuzaliwa kuwa kamili lakini alizaliwa kuwa real..
Anajali zaidi kile ambacho watu wanatakiwa kupata kutoka kwake..
Kile ambacho Mungu amembariki basi na yeye amekifanya kuwa baraka kwa watu wengine... {Unlyrical words}
Kwa ufupi, Fid Q ni Masta

[Verse 1]
Usiniite mtata nikiwa na njaa ya pesa, story na mkora/
Kamwe sitokata tamaa, Forever i'll live so all out/
Hustler, Kila kona nasaka goli, Footballer/
Jina ni masta au degosholo ukinicheki tu kora/
Sio kinyonge homie, Rasta kama Johny dandora/
Tumsake tonge ila/
Namfuata pombe hauoni ving'ora??/
Mwanza Mwanza to the world, Na hamgomi nikichora/
Flow zinafanya hadi Joh awaambie sinoni mie bora/
Kutupiana vijineno na kuanza braza hii sio diss/
Ni vile tunaokotea na meno ya weep it kisha other stiff/
Usiruhusu wakatujaza si tuwape ladha tu sweet/
Majungu hayazuiliki lakini wino wa Mungu haufutiki/
Sio tu akeshaye, hata alalaye humpa riziki/
Palipo mzoga hawakosi taa waliomuwahi fisi/
Kuthamini walichonacho, Wataanza kitapo potea/
Na wanacho Miss hawakijui, mpaka kitapotokea/