Fid Q
Ole Chizza
[Verse 1: Fid Q]
Palipo moshi pana moto, Cheki shisha/
Hapatoshi kwa huo mtoko, Feki pisha/
Naona pochi yenye noti hauwezi shika/
Usinichoshe Mi ni Boss, Mechi kwisha/
Na ka ni Rose Rose Nita graph bish/
Nikilenga shot sikosi, Uta-survive vipi??/
Naenda Mosi mosi sio kwa kasi bish/
Sina low stock, Simpi chance snitch/
Sikuwa na Passport wala Password/
Au PIN lakini mjini nika-Crack code/
Unataka kuwa mimi?? Ahh.. Basi foji/
Hauna code, Piga chini naitwa Land lord/
Hakuna mganga zaidi ya Mungu, Acheni ushamba washkaji/
Msijitie gundu, Kuweni wapambanaji/
Kaza kamba, uweze kuwa in charge/
Kenge hawi mamba,kwa kukesha ndani ya maji/

[Hook: Rosa Ree & Fid Q]
Ukiwa hey bebe hauwezi hustle ka mimi/
Hauwezi we kuwa mi we kaa chini/
ANHAA! Mzee sifumbi macho usingizini/
Vya bei ya chee we kaa navyo mi vya nini?/
Ole X4 Chizza X4
Ole x4 Chizza X4
[Verse 2: Fid Q]
Mi sijikwezi acha ukaksi, Boss/
Ukiona sipendezi rusha basi pochi/
Mambo, Yote kwa soksi/
Dudu bongo du kinaa mzaa huzaa mkosi/
Umaskini sio dhambi, Japo sio jambo jema/
Haupati manzi ukiwa hauna jambo, Yaani ndio basi tena/

[Hook: Rosa Ree]
Mi ni mjeshi, Kwenda race sioni kesi kid/
Bila cash, Hauwi freshi hauiwezi league/

[Verse 3: Fid Q]
Baby girl, Unahitaji kuni please, Nataka nile shot kama kennedy/
Uko na desperate disease, Na mimi ndio ile dangerous remedy/
Laana sijapewa, kutwa ninaombewa na mama/
Ukinipa mihadi hewa, Mi nachukua hatua chanya/
Na sijawahi jivika umasihi/
Makuzi hayafai ndio maana Baba wa taifa alificha CV/

[Hook: Rosa Ree & Fid Q]
Ukiwa hey bebe hauwezi hustle ka mimi/
Hauwezi we kuwa mi kaa chini/
ANHAA! Mzee sifumbi macho usingizini/
Vya bei ya chee we kaa navyo mi vya nini?/
Ole X4 Chizza X4
Ole x4 Chizza X4
[Verse 3: Fid Q]
Er day, they ask how am doing/
Nawauliza kwenda kasi nyie hamjui?/
Hamkui?? Hamkui kui, Dafu hamfui/
Gamba nyeupe na nyeusi kama chui/

[Hook: Rosa Ree]
Fresh after death, Mi ndio King wa ma Queen/
You better take a bow, Whenever i'm coming in/
Hata wakisema mi nazidi tu kuwin/
Wana hate the stage, Hawana budi ku sing/
Anhaaaa.!

[Outro: Fid Q & Rosa Ree]
Ole X4 Chizza X4
Ole x4 Chizza X4
Ole X4 Chizza X4
Ole x4 Chizza X4

Wanene