Utatulia

[Intro]

Aiy

Its Bonga
[Verse 1]

Kiangazi Masika Ukiichanganya

Vyote Vikashuka Kwangu Vitanielemea

Ntakosa Pa Kushika Ntavavanya

Wewe Ndo Mwandani Wangu Nliokuzoea

Ntunza Vyangu Visiri Mwenye Kunisitiri

Fundi Mitambo

Kinga yangu Ya Mwili Usiyelipa Bili

Kuchoma Changu

Simtaki Kafiri Jangiri Mwingi Wa Mambo

Moyo Akaukatilli

Nikondeshe Mwili

Ajifanye Rambo



[Bridge]

Si Unajua

Dalili Ya Mvua Mawingu

Ikitaka Kunyesha

Huwa Yanatanda

Nami Si Unanjua aah!

Nimeumbwa Na Wivu

Kidogo Tu Presha

Yanshuka Yapanda

Niahidi Kama



[Chorus]

Utatulia Aaah!

Baby

Niahidi Kama (Utatulia Aaah!)

Hhhmm

Nisibaki Nkashika Tama

Utatulia Aaah!

Baby

Niahidi Kama (Utatulia Aaah!)

Hhhmm

Wasiniibie Cha Ngama



[Verse2]

Maneno Yangu Si Biblia Wala Masaafu

Useme Usibadili (Hhhmm)

Jichunge Kipenzi Changu

Unanisikia Usicheze Rafu

Yatimie Waliotabiri

Usijifanye Ronaldinho

Penzi Utie Mbwembwe

Utahaaribu

Visokolokwinyo

Wakupitie Denge Kukujaribu

Kina Capachino Wakakutia Wenge Kwa Vizabibu

Wakugongeshe Mvinyo

Ukaota Mapembe Iwe Aibu



[Bridge]

Si Unajua

Dalili Ya Mvua Mawingu

Ikitaka Kunyesha

Huwa Yanatanda

Nami Si Unanjua aah!

Nimeumbwa Na Wivu

Kidogo Tu Presha

Yanishuka Yapanda

Niahidi Kama



[Chorus]

Utatulia Aaah!

Baby

Niahidi Kama (Utatulia Aaah!)

Hhhmm

Nisibaki Nkashika Tama

Utatulia Aaah!

Baby

Niahidi Kama (Utatulia Aaah!)

Hhhmm

Wasiniibie Cha Ngama



[Outro]

Eeeh eh

Yani Kama Ukitulia Tulia

SItathubutu Macho Kupepesa

Ukitulia Tulia

Ukinipa Kiduchu Nitatosheka

Kama Ukitulia Tulia

Sitofwata Nguruchu Niende Teseka

Ukitulia Tulia

Eeeh eh

Nami Ntatulia



Oh My God Is Better Sound!

More by Lava Lava

All Lava Lava songs →