Marioo
Fitingi

[Intro]
Mouja
Ihiiiii
Huyu Fundi Abbah
Kutoka Alooo
You know the sound
(Sound by Abbah)

[Verse 1 : Mocco Genius]
Mi na wewe hatutafuti ukamilifu
Mi na we hatupimani madhaifu oouh yee
Mahaba ya kila aina nakupa, siwezi kunyima
Shahada ya kupendana, nakupa

[Pre Chorus : Mocco Genius]
Penzi nitalilinda
Kwa marungu
Kwa mapanga
Kwa huu wivu
Nitawanga

[Chorus : Mocco Genius]
Ooh baby, am fitingi
Am fitingi fitingi
Baby baby, we're machingi
Machingi machingi
Baby, we're fitingi
Fitingi fitingi
Mimi nawe tume machi
Machingi machingi
Tume machi mchi
Aaah Moujaa
Mh mh mhhh
[Verse 2 : Marioo]
Tukizeeka ukang'oka meno, nitakutafunia mimi
Nitakupenda mpaka mwisho wa hii dunia baby
Huba kama unalijaza katika gunia baby
Vitu naturally napata mia kwa mia mimi oow woo
Sihofii kuonekana fala
Sihofii kuonekana zoba zoba
Sihofii kuonekana mjinga

[Pre Chorus : Marioo]
Penzi nitalilinda
Kwa marungu
Kwa mapanga
Kwa huu wivu
Nitawanga

[Chorus : Marioo & Mocco Genius]
Ooh baby, am fitingi
Am fitingi fitingi
Baby baby, we're machi
Machingi machingi
You and I we're fitingi
Fitingi fitingi
Tume machi iyee
Machingi machingi
We're fitingi
[Outro]
Aaah Mouja
Ai ai kutoka Alooo
Fitingi fitingi
Machingi machingi