[Verse 1 : Tommy Flavour]
Baby ohh baby umeniweka mkononi sawa
Ohh baby your love h’ve got something power
Ajanipa juju ndivyo tulivyo
Ajatumia madawa
Ohh my lover
Imenoga
Your body imenoga
Na your face imenoga
Na hizo hizo lips utamu kunoga
[Chorus : Tommy Flavour]
Naona muda hauendi
Ohh nimenogewa na mapenzi
Alika na mashoga zako
Twenzetu Zenji
Naona muda hauendi
Ohh nimenogewa na mapenzi
Alika na mashoga zako
Twenzetu Zenji
[Verse 2 : Marioo]
Nalalaga na yeye lakini hata ndotoni namuota
Ohh baby iii
Yeye ndo ndege anemiliki kiota
Nashindaga na yeye
Nikitoka tu kidogo na m-miss
Ohh baby iii
Nikirudi napolekewa na kiss mwah
Mtusimtumie message
Ananipaga nasoma
Oya masela wangu nawaona
Msimtumie message
Nampaga anasoma
Oya vimada wangu anawaona
Ajanipa juju ndivyo tulivyo
Ajatumia madawa
Ohh my lover
Imenoga
Your body imenoga
Na your face imenoga
Na hizo hizo lips utamu kunoga
[Chorus : Tommy Flavour]
Naona muda hauendi
Ohh nimenogewa na mapenzi
Alika na mashoga zako
Twenzetu Zenji
Naona muda hauendi
Ohh nimenogewa na mapenzi
Alika na mashoga zako
Twenzetu Zenji