Welcome to MyBunny.TV - Your Gateway to Unlimited Entertainment!
Enjoy 6,000+ Premium HD Channels, thousands of movies & series, and experience lightning-fast instant activation.
Reliable, stable, and built for the ultimate streaming experience - no hassles, just entertainment!
MyBunny.TV – Cheaper Than Cable • Up to
35% Off Yearly Plans • All
NFL, ESPN, PPV Events Included 🐰
Join the fastest growing IPTV community today and discover why everyone is switching to MyBunny.TV!
Start Watching Now
Wakisema tutaachana ongeza nipenda zaidi ya jana
Wakitamani tuuzunike tufanye sherehe
Baby nipe tena kama jana
Wanatamani yanibubujike
Ukintenda kiutani utani utaniua eeeh
Mi juu yako nshatamba sana ntaambia nini watu
Weh ndo faraja maishani usiniue eeeh
Milele kufa kuzikana nishachora tattoo
Hata ukiniacha usifanye ukatoka na kina nanii eeeh
Ntaificha wapi sura utanitia doa
Hata ukiniacha vya ndani vibaki siri weh na me eeeh
Ntaiweka wapi sura ntaiona dunia
Ya uchungu
Ya uchungu
Ya uchungu
Ya uchungu
Achana na mapaka shume wataponza uchomoe
Wasije wakakufunza unikomoe
Wala hawatokuwa na maana lengo penzi walibomoe eeh
Lazizi weeh
Basi fanya usinibiboe
Maana moyo wangu utaumia utaumiaaa aah
Afu nafsi yangu itajutia itajutiaa
Hata ukiniacha usifanye ukatoka na kina nanii eeeh
Ntaificha wapi sura utanitia doa
Hata ukiniacha vya ndani vibaki siri weh na me eeeh
Ntaiweka wapi sura ntaiona dunia
Ya uchungu
Ukiondoka ukiniacha mwenzako ntaumiaa
Ya uchungu
Litanilemea litaniuma sana
Ya uchungu
Maradhi ya mapenzi nnayo yanaumiza
Ya uchungu
Mwenzako aaah eeh eehh
Mwenzako napenda napenda vibaya
Ukiniacha nitaumia
Ukiondoka ntaumia
Itaniumaa
Itaniuma
Ukiondoka ntaumia
Itaniumaa
Itaniuma