Khaligraph Jones
High Noon
[Intro]
(BigBeatsAfriq)

[Verse 1: Abbas Kubaff]
Nime-lay low-key, niliangusha padlock
Saa hii natoa lock na mikono za Hancock
Waliagiza shots, wakapewa ma-headshot
One, two, three (gunshot)
Niko fresh bila Prince, unco hani-feel
Aunt Vivian na Hillary si wako na bills
Ata ka sijawajazz, bado na-chill
Mi sio Jeffrey lakini na-deliver at will
Actually, hii ni rap for real
Khaligraph, Wakadinali na Abbas Ku-B
Yeah, naamka mapema lately
Siwezi mwaga unga juu mkate ni basic
Manna toka heaven, ladha yake ni tasty
Sun, blessed nilikuwa tangu the '80s
Naweza sound corny nikisema self-raising
Usi-mind, hii grind yangu huwanga amazing
To be or not to be, I have to be
Doobeez or not Doobeez, Abbas Kubaff
Kang Kang!

[Chorus: Domani Mkadinali]
Niko kwa gari ndani ya vitongoji duni
Na rende ina-ride through
Ata mitaa za mbali si hupiga scene tupu
Na-plan kuwa tycoon
Guess ni wodo inapairu kushinda titration
(Guess ni what?) My crew
Nili-buy ngware kindukulu (Ss! Ss!)
Ndio nikuwe na high noon
[Verse 2: Khaligraph Jones]
Check, listen
Nina miaka kadhaa kwa game na mpaka sasa hawanigusi
Wacha tu-distinguish nani rapper, nani pussy
Nani shark, yaani papa, nani sushi
Juu ma-boy nili-inspire ndio mpaka sasa wananitusi
But come to think of it, ndio rap iko
Ku-disagree ni rapper mgani ataeka verse mwisho
As long as unaweza roga, mistari zimetosha mboga
Na rhyme scheme iko in order, na uko tactical
Then its kids' play, easy, whether last ama kwanza
Haswa hii mbogi yangu ni ya maras na wajanja
We ni snitch, unadhani mbona si hukushuku
Kutuseti ndio zako juu ya marupurupu
Leave you in a coma, hapana alama ya dukuduku
Na tukuteke kila kitu ubaki tupu tupu
Na siwezi mwaga unga na nakula mboga usiku
Na ka si ndeng'a, pia siwezi kosa kisu (Brr!)
Mambleina wanazua, hawawezi kosa issue
Industry ina ma-pirate, utadhani Mogadishu

[Chorus: Domani Mkadinali]
Niko kwa gari ndani ya vitongoji duni
Na rende ina-ride through
Ata mitaa za mbali si hupiga scene tupu
Na-plan kuwa tycoon
Guess ni wodo inapairu kushinda titration
(Guess ni what?) My crew
Nili-buy ngware kindukulu (Ss! Ss!)
Ndio nikuwe na high noon
[Verse 3: Scar Mkadinali]
Ay
Si uongo, "Bang bang" na utagenya jiji
So watoto wadogo, "Gang gang" ndio kusema nini?
Mm, naona ni kama nyi mna-play na mimi
Lakini swali bado ni moja, tutapenya lini?
So my broda, enjoy your days
Juu tushajua vile itaisha, either in jail or dead
Uh, the radio don't play me so I play my way
Anyway, my father told me, "No pain, no gain"
Juu bado tuko underground na sichoki
Sidhani hii ni music, man, ukinicheki na kipochi
Sisoti, sikosi
As in, mlini-misjudge juu mlinicheki na ki-taxi na kichoki
Yo, so if I die
Usisahau kuwaambia that I lived my life
Yo, Scar a.k.a Mr Rizz Mangwai
Mi hujuanga nawaumiza mbaya, eh

[Chorus: Domani Mkadinali]
Niko kwa gari ndani ya vitongoji duni
Na rende ina-ride through
Ata mitaa za mbali si hupiga scene tupu
Na-plan kuwa tycoon
Guess ni wodo inapairu kushinda titration
(Guess ni what?) My crew
Nili-buy ngware kindukulu (Ss! Ss!)
Ndio nikuwe na high noon
[Verse 4: Domani Mkadinali]
Mara better ni ka dera, mara juzi niliona hadi Vera
Mara zimenirunda Kibera, mara zimenirunda kivela
Hakuna venye utajifanya hutusikii venye ni si tuna-boss, unaonekana we ndio mbleina
Kila beat tuko strapped na ki-Jesus piece, tuki-finish hatuonekani tena
Trap, trap, bila burden, trap Nai, Kitusuru na Karen
Peleka wazimu Mathare, hatubongi ka haulipi, hiyo stori ni usare
Samahani sana, venye maneno haiwezi vunja yai
Chungeni mbuzi zenyu, kitu ya mtu si rule yangu
First day alikuja then na boyfriend, saa hii ana-spend time kwa room ya mine
Amini msiamini, ndugu zangu
Thanks God, kwa baby steps naona nikiomoka
Since baby steps niliona nikiomoka
Hawalali, wanadhani ati Khali alikuwa amenitoka
Nimechizi as if wachape bangi, madam, hii lung-i ina-burn
Nipe Jesus piece, Babylon army ndio nina-bang
Mi ndio bigger beast, fanya hadi padri dhambi na gun
Hapa ha-commit, tisha babi, walami, zombie inakam