[Intro: Breeder LW]
Mmmmh (The Beat Killer)
Ni kubaya, yay
Bazenga (Ay, ay)
(Vinc on the Beat)
[Chorus: Breeder LW]
Nasema woi, woi, woi, jua ni kubaya (Jua ni kubaya)
Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya (Ay, jua ni kubaya)
Ay, msupa atoti, ndai ni German, ni ya Ulaya (Yo, ay, ni ya Ulaya)
Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya (Ay, ay)
Nasema woi, woi, woi, jua ni kubaya (Jua ni kubaya)
Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya (Ay, ay, ni kubaya)
Woi, kairetu msafi, mbota, durag, shingo mawaya (Mawaya)
Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya
[Verse 1: Breeder LW]
Yo, Bazenga, ay, yo
Jua ni kubaya, imba kaa choir
Cobra ni King, bazu ni giant
Tangu tene, Breeder, mi ni short wire (Yo)
Leta zogo ndio utafinywa na pliers (Ah)
Rap game, nimesimama kwa dais
Sembe na mala na kunde kwa diet (Kwa diet)
Tabia za Baha na nguo za Diana (Walahi)
Zitafanya nifuate dini kwa science
Nikikafunga na-copy Jalang'o, na-pull up na Beamer, kwanza ki-drop top (Skrr, skrr)
Mkwela alijifanya high class, after mechi si alidishi ma-popcorn (Ma-popcorn)
Kwa shingo waya zimebeba ma-karat, trao imefura kwa mbosho (Ice, ice)
Vile wana pupa kaa refa wa wreso, Undertaker, nawapiga ma-tomb stone (Perfect)
Vile nawastua kama box X
Ndege maziwa nazioshanga tu na Topex (Walahi)
Itabidi wamejua bado mi ndio chosen
Opp alitupwa ndani ya tank kama Cohen
Niko fully loaded, sijawahi kosa content (Woi)
Delivery noma, mistari nafikisha doorstep (Woi)
Tuko tu mamoshi kaa takeoff ya rocket (Ay, ay, ay, ay, ay)
Breeder, Omollo kuwa sure hii ni problem
Na siezi ngoja ku-invest mamita (Walahi)
Zitaletwa na ngoma napiga (Woi)
Tough Klan naigeuza kanisa (TK)
Juu ma-cosign napata na sifa (Sifa)
Kaa si TK, ni Blu Ink kwa speaker (Ay)
Piga mrazi na chupa kwa kichwa (Ba!)
Me napata baraka, si Kissmart (Ah)
Wengi wao walikam wakapita (Ay)
Si ni shocking kaa Blanka
We bado una mbogi, mi nazoza one man (Walahi)
Mi ni headbad hadi staff room nanyamba (Ay)
Na naachia depa na princi lawama (Woo!)
Niko bypass, 105 nakanyanga (Woo!)
Juu kuna maganji nafuata Langata (Ay)
Hapo mneti wana-hate-ingi sana (Sana)
Na tukipatana wako nervous (Ay)
[Chorus: Breeder LW]
Nasema woi, woi, woi, jua ni kubaya (Jua ni kubaya)
Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya (Ay, jua ni kubaya)
Ay, msupa atoti, ndai ni German, ni ya Ulaya (Yo, ay, ni ya Ulaya)
Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya (Ay, ay)
Nasema woi, woi, woi, jua ni kubaya (Jua ni kubaya)
Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya (Ay, ay, ni kubaya)
Woi, kairetu msafi, mbota, durag, shingo mawaya (Mawaya)
Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya
[Verse 2: Khaligraph Jones]
Yo, check it, yo
Rada ni chafu, washo tumefika, hawajajua ni kubaya (Jua ni kubaya)
Mi ni moto, na vile nawa-son, jua ni ku-fire (Jua ni ku-fire)
Tuliona ukizoza na ndechu kwa IG, ukajua niku-hire (Jua ni ku-hire)
Na vile huyu shawty anagawia umati, hujajua ni ma- (Argh, okay)
(Woo!)
Breeder alinisho, "OG nina banger", nikamwambia "Tuma, ma n***a, I got you"
Na juu sitaki ma-story za mbang'a, vida ipigwe mchana sababu ya curfew
Juu lazima nipate briefing ya Mutahi, nijue cases ngapi so far hapa Nai
Najua nikiukata utajifanya sorry, lakini ndani ndani watakuwa wanafurahi (Woo! Woo! Woo! Woo!)
Itabidi niharakishe ndio nisepe, hii si para, mister, usiniletee
Hata mkilalamika mi natambulika, siezi choma picha, ama vipi?
Na nyi kwangu vinyangarika, nawachapa vita, na mkikasirika niwateke
Niwanyang'anye sling na Timber, na ju nyi ni wajinga, ni vibare mpaka mi nitosheke
Na mi nawatafuna kama PK (PK), PK (PK), jaba na njoti
Na hii ngoma lazima iwashike (Shike), shike (Shike), mababi, mangoki
Collabo noma, Omollo na TK (TK), TK (TK), mafala hawatoshi
Na kaa ni bars, basi muitishe (Tishe)
Ndio tuwazungushe na ile pace ya Valentino Rossi
Tukifika basi ni nuru, tuko kwa telly kwa mbulu
Kutoka Nyeri to Buru, mpaka Nyeri to Mukuru
Tukimalizana na Nai, tunafika Nakuru
Na juu hii si kazi ya bure, buda, toa ushuru (Woo!)
Ma-shawty wanalia, "Ooh, that's a badman" (Ay)
Gonga taka tuku-scoop up na dustpan (Jones)
Red carpet, tuna-pull up na Mustang
Look ya Gikomba tumepulizia Verseman (Yee!)
Competition imerushwa kwa trash can (Ah!)
Nyi ma-stude mmekuja for half-term
Hivyo ndio venye namalizia verse (Ay)
OG, motherfucker, nime-pull up na Tough Klan
Jones