Khaligraph Jones
Nadia Mukami ft Fena Gitu & Khaligraph Jones - Tesa (Official Video)
Coz leo ni kutesa
(Nadiaaaaa)
Nadia!!
Form ni kutesa
(Fena nanana )
Coz leo ni kutesaaa
Yeah yeah
Form ni kutesa..
VERSE 1:
(Nadia Mukami)
Issa Friday night, ita wenzako waambie
Kuna party tonight, no time sasa wakimbie
Chelewa chelewa mwana si wako
Na uchunge usije hepa na wako
Huo mchele usijetiliwa kwako...
Babyyyyy....
Ikibamba sana piga kelele wewe....
(eeeh eeeh)
Na kama ni noma sana piga kelele wewe.....
(Eeeh eeeh)
Boomerang dance on the dance floor
Fine girls dance on the dance floor
Hennеssy pour on the Dance floor
CHORUS:
Coz leo ni kutеsa, Tesa
Form ni kutesa, tesa X2
VERSE 2:
(FENA GITU)
Yeyeh... yeah
Baada ya kazi nimeingiza doh Sina pressure
Kwenye burudani nilipiga show nilitesa
Big up dem, fine gal in a pretty likkle skirt
Young man, in a African shirt
Wave your hand and do the odi dance and
Shake your bum like you know what you are worth
Uuuh... all of the drinks on me mifuko imejaa leo, imejaa pesa
And if you look at me, looku looku vile natesa
Uuuh naikibamba sana wapi nduru weweeee (eeeh eeeeh)
Na kama ni noma sana piga kelele.....
CHORUS:
Coz leo ni kutesa, Tesa
Form ni kutesa, tesa X2
VERSE 3:
(KHALIGRAPH JONES)
Yeah
Nikona form, usiku to dawn
Mbogi iko zone, imewasha kindom
Keti mbaya tukucon
Tukuteke kwa chuom
Fena na Papa Jones
Nadia hapa ndo Don
Though simpati kwa phone
Naskia ako Salon
Juu leo mi ndo the bomb
Club pia imechrome
Mbogi mpaka ya ngong
Imebambika na songs
Zile si huperform
Rende pia ni wrong
Niko juu ya nyama ya bama na kachumbari
Na juu ya diabetes chai hatuweki Sukari
Plans saa hizi zimetufikisha huko kariorkor
Walevi washaanza kulewa wamekalia floor
Eeh! Naskia form ni kutesa
Tusimalize ganji ndo mtaa turudi kalesa
Waka nesa mavodo bila chaser
Hakuna kulala tunakesha tukitesa
CHORUS:
Coz leo ni kutesa, Tesa
Form ni kutesa, tesa X2