Khaligraph Jones
Japo Kidogo
Yeah
Vicky pon dis
Ooh get down, ooh get down now
Ooh get down, ooh get down
Ooh get down, ooh get down now
Ooh get down, ooh get down(whooza)
Mama bend down and break your back
Don't you whine it twerk like a slut
Mmmh, ukitaka nikupeleke nyumbani
Wengine ni daraja soma kazi

Mama kiuno chako
Unavyokizungusha kama hulla hoop
Nabaki nakutamani, sina budi
Mmmh, na wewe
Ushajua nia yangu
Ndo maana unajisheua na makusudi
Aah
Me niko hapa kwa ajili yako
Hapa ni kuwa sikai hadi nikakuona
Aah
Me niko hapa kwa ajili yako
Hapa ni kuwa sikai hadi nikakuona
Oooh japo kidogo, japo kidogo
Oooh mama break it down
Oooh japo kidogo, japo kidogo
Mmmh japo kidogo mami, japo kidogo
Oooh mama break it down
Oooh japo kidogo, japo kidogo mmmh
OG
Eeey shawty let me halla at you for a minute
Unanipandisha steam
Na sielewi mbona unakuwa mkali nikitupa lugha
Utazungusha mpaka lini?
Coz we mwenyewe unanitaka tu
Nafurahi kila napo guza
Hii ni krimino tena(haiya)
Ndo imenifanya nasema(haiya)
Mtoto na Nairobary si uko hodari
Umeniwacha nahema
Hii ni krimino tena(haiya)
Ndo imenifanya nasema(haiya)
Mtoto na Nairobary si uko hodari
Umeniwacha nahema
Hakuna anayesema hunifai
Umekawasha utadhani ni ngwai(ooh nah nah)
So sioni mboma ukatae
Si wawili tunaenda walai (oooh nah nah)
Oooh japo kidogo, japo kidogo
Oooh mama break it down
Oooh japo kidogo, japo kidogo
Mmmh japo kidogo mami, japo kidogo
Oooh mama break it down
Na usimind mama
Nikiomba tena,we nipe tena
Usimind mama
Me sitasema, we nipe tena