Kwa Ajili Ya Wana

SONG: Kwa Ajili Ya Wana

PRODUCED BY: KINGDOM
CHORUS

(Hii ni kwa ajili ya wana

Wanao ni support kwa sana

Hata kama sina hawanidharau

From the buttom yeah we coming now,) ×2



HOOK

(From the buttom yeah we coming now

Hii ni kwa ajili ya wana

Hii ni kwa ajili ya wana

Hii ni kwa ajili ya wana,)×2



Verse 1

Na time hii nimeamua kuongea na wana

Wanangu wa mtaa wanao ishi maisha ya pambana

Life is a bitch n***a dont complain bout the karma

She plays two sides kaa chonjo she's a transformer

And never mind just fuck it hard like a winner

Ma n***a, amka mwana maana bado unaishi kwa sababu, Kwasababu, hata aliefika mbali alianza ka beginner

Ma n***a, mshukuru Mola inapoisha siku sali tubu

Sali, tubu, kwasababu everybody was born a sinner

Ma n***a, tunaamini na ndio maana tuna

Tunakaza usiku na mchana

No, no, no, no kusanda tunapanga vyuma, gurudumu tunalisukuma

No way, no, halilali likiamka goma, wasiopenda wanaugua homa

Oh ma God, kishanuka tumewasha noma, wanangu wote mmeshanisoma

Hii ni kwa ajili ya wana wote wanaotaka kukata tamaa

Kaza mpaka ufike hata kama yu can't see whats around the corner



CHORUS

(Hii ni kwa ajili ya wana

Wanao ni support kwa sana

Hata kama sina hawanidharau

From the buttom yeah we coming now,) ×2



HOOK

(From the buttom yeah we coming now

Hii ni kwa ajili ya wana

Hii ni kwa ajili ya wana

Hii ni kwa ajili ya wana,)×2



Verse 2

Its for ma n***as niko real n black

Its for ma n***as that i wrote this track

Dropping flows flowing back to back

Tunaposhika we must leave a mark

We make it shine even if its dark

We sustain hata kama hutaki

We on this, hatuogopi kupoteza kitu

We learn things, new things yani kila siku

By any means, tutafika hata bila viatu

Tukikaza kulisaka buku, n get the meals

We gat this, mziki wetu tuna release

We gat this, tuko studio tuna get bizy

We gat this, mpaka siku tuta sign deals

We gat this, hata ukunje tuta pay bills

We gat this, we got the love, yeah we gat that peace

Hii ni kwa ajili ya wana walioanguka wote, may em rest in peace



CHORUS

(Hii ni kwa ajili ya wana

Wanao ni support kwa sana

Hata kama sina hawanidharau

From the buttom yeah we coming now,) ×2



HOOK

(From the buttom yeah we coming now

Hii ni kwa ajili ya wana

Hii ni kwa ajili ya wana

Hii ni kwa ajili ya wana,)×2

More by Kingdom

All Kingdom songs →