JUMAPILI HADI MOSI

Sirhustler aka cj,invisible master mind the real sniper another global classic societymusic inafaa

VERSE

Nimeamua by the way kufuata one way maovu na dispose mema na retain

Kuwa holly joe si siri najivunia kufuata one way ndio ni sitereze

Juu wengi ni wao wanao subiri ni tereze usiku na mchana ili hali waniwide

Kuwa mwana mziki si siri ni kipaji juu day after day mi huota sanaa

Kwa hii game ukipende niite shujaa kwa msimamo dhabiti still kaa bingwa

Matatizo yapo mengi tangu kuzaliwa

Lakini on this game I focus on succeess nikipata still naendelea kushaka

But nikikosa pia naongezea juhudi

Ndani ya hii game mi simtabui mtu iwe rafike au adui wote nikaa ndugu

Nikiwa on top na jaribu kumaintain but nikiwa down nataka kuwa up

Ndani ya hii game bado nipo the same ndani ya hii game niko kama kawa

Chorus

Jumapili jumamoshi bado nipo the same 'ee'

Sibadiriki hata

Jumapili jumamoshi bado nipo the same 'ee'

Ndani yah hii game

VERSE

Wanaona niki rise wana wish niwe dead juu ndani ya hii game makifili ni wengi

I still do my thing bila beef naye yote still kaa abas niki blaze more fire

Kaa ni ug na bongo nisapata sifa still kaa nas mjeshi niko randa

Tabia za karembelea ndio za ni changanya wakini diss kwa ubaya na respond kaa chui

Si kichaa au dharau elewa deal jina mwana mziki ndio yanipa riziki

Ndani ya hii game niko kama kwa

Ndani ya hii game mi sifanyi kinaya

Chorus

Jumapili jumamoshi bado nipo the same 'ee'

Sibadiriki hata

Jumapili jumamoshi bado nipo the same 'ee'

Ndani yah hii game

VERSE

Kaa kurise ni kublow naku blow niku rise then ndani ya hii game

Na rise niki blw kaa kushine ni kung'aa na kung'aa niku shine

Then ndani ya hii game na shine niki ng'aa

Baada ya thiki ni faraj wa henga wa kasema

Nisa pitia thiki but sioni faraja

Nataka kupaa but sina mabawa

Ni hard kuwa high all the time ndani ya hii game

Bado nipo the same ndani ya hii game niko kama kawa

Chorus

Jumapili jumamoshi bado nipo the same 'ee'

Sibadiriki hata

Jumapili jumamoshi bado nipo the same 'ee'

Ndani yah hii game