Sauti Sol
Nairobi
[Intro: Bensoul]
Heh, heh, heh, heh
Hahaha, maajabu
Suda!

[Verse 1: Bensoul, Sauti Sol and Nviiri the Storyteller]
Habari mbaya zimenifikia
Mandugu zangu wananikulia
Kumbe sahani yangu ni sinia
Na inaniuma sana
Yule mpenzi niliaminia
Nikamweka mbele ya dunia
I must be trippin nikikurudia
Umenitesa sana

[Chorus: Bensoul, Sauti Sol and Nviiri the Storyteller]
Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare, sote tuna-share
Ogopa sana
Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare, sote tuna-share
Ogopa sana, mama
[Interlude: Bien-Aimé Baraza and Savara Mudigi]
Oh, yo!
[?] in this bitch, yeah, yeah
Oh, oh, oh

[Verse 2: Bensoul, Sauti Sol and Nviiri the Storyteller]
Marashi yako yalinivutia
Siku ya kwanza ulipopitia
Kumbe si mi pekee nilinusia
Yolanda ya lavender
Na mbogi yangu iliniambia (Walinisho)
Eti nikusare but sikusikia (Sikusikia)
I don’t wanna do this shit no more, my dear
Najuta kupendana

[Chorus: Bensoul, Sauti Sol and Nviiri the Storyteller]
Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare, sote tuna-share
Ogopa sana
Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare, sote tuna-share
Ogopa sana, mama
[Interlude: Bensoul]
(Gonga!) Gonga
(Gonga like!) Gonga like
(Gonga!) Gonga
(Gonga like, eh!) Gonga like
(Gonga!) Gonga like
(Gonga like!) Gonga
(Gonga!) Yeah, yeah
(Gonga like, eh!)

[Verse 3: Mejja]
Okonkwo! Yo
Rieng, rada, siku hizi madem ni blunder
Jana cuzo alimkaza, he’s family, ah, ah
Get together kwa bed, hio story tumekataa
Ma-boy wengine blunder, watakukulia mama
Na wakuchekeshe sana, madem, madem, eh
Madem wa siku hizi wana machali wengi
Nilichapa mmoja juzi, ikaingia ndani, dive

[Chorus: Bensoul, Sauti Sol and Nviiri the Storyteller]
Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare, sote tuna-share
Ogopa sana
Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare, sote tuna-share
Ogopa sana, mama