Sauti Sol
Birthday Song
[Intro: Bien-Aimé Baraza]
Leo siku, leo siku, leo, mmh
Leo siku, leo siku, leo, yeah, yeah
Leo siku yetu

[Verse 1: Nviiri the Storyteller, Sauti Sol and Bensoul]
Leo siku yako ya kuzaliwa
Kula na kunywa na kusazamaa
Leo niiteni mheshimiwa
Pamba freshi, marashi nimejaa, ah
Ma-hater wako pale kwenye kona
Macho pembeni wakitazama
Ila usiogope, choma picha
Kesi baadaye, hesabu lawama

[Chorus: Nviiri the Storyteller]
Don't be crying on your birthday, mama
(Tell them it’s your birthday)
Stay away from bad vibes and all the drama
(Tell them it’s your birthday)
Go ahead and dip it low, drop it low for your homeboy, mama
(Tell them it’s your birthday)
Do what you wanna and be who you wanna
Forgive and let the karma, karma

[Verse 2: Nviiri the Storyteller, Sauti Sol and Bensoul]
Ma-n***a wangu wako hapa nyuma
Ukileta shida utapigwa foul
Wengine mavela, wengine jaba
Wengine zote wamezichanganya
Ma-manzi wenyu wanatusorora
Ukikaa vibaya tunapita nao
Nviiri, baby, bado Storyteller
Universal charger, striker, number nine
[Chorus: Nviiri the Storyteller]
Don't be crying on your birthday, mama
(Tell them it’s your birthday)
Stay away from bad vibes and all the drama
(Tell them it’s your birthday)
Go ahead and dip it low, drop it low for your homeboy, mama
(Tell them it’s your birthday)
Do what you wanna and be who you wanna
Forgive and let the karma, karma

[Verse 3: Khaligraph Jones]
Yo, leo katashika ni birthday (Woo!)
Umejipuliza marashi, babe (Woo!)
Waresh watajipa, I must say
Bash inafaa ianze afte (Ah!)
Mwendo yetu, aste aste
Hakuna teke, usini-rush, wait
Mbogi wanawika wako thirsty
Nviiri ashafika na liquor na ashtray (Ah)
Ambia soldier nita-buy chai (What?)
Acheze chini, chocha haifai (Ah!)
Bien nasikia ushawahi ngwai?
We finna kick it like Muay Thai (Omollo!)
Oh my, oh, my guy
Niko high right now, why lie?
Acha niingie IG saa hii saa hii
Wapi hio password ya wi-fi? (Ah)
Sikufichi, warazi pia they be feelin' it on the low (Woo!)
Kiki, 'tutaki, peleka udaku bongo, bro (Yes!)
Mziki, tunazitoka, utadhani ni ndombolo
Is vipi? Nawacheki kama ditch na mongolo
Kwa mikono, nimeshikilia tumbler (Woo)
Gari nimekuja nayo pia ni Wrangler (Uh)
Game chafu kama nywele ikona dandruff (Yes)
No wonder mi nafuatwa na kina Sandra (Ah)
Akina Njoro pale wako juu ya handas
Hii party, jo, kuna vile inabamba
Birthday boy, nimewapigia pamba
Tunachanganya mugithi na ohangla
Eh, omera, okinyal chanda
Tuko Ronga, nimeshikilia number
Kenya, Uganda, TZ to Rwanda
Rada ni blanda, inakata ka panga
Mamacita, napenda hio sianda (Uh)
Haina haja ushinde uki-meander (Ah)
Kuja nikununulie shamba
Birthday boy, lazima kujigamba (Iyee!)
Jones
[Chorus: Nviiri the Storyteller]
Don't be crying on your birthday, mama
(Tell them it’s your birthday)
Stay away from bad vibes and all the drama
(Tell them it’s your birthday)
Go ahead and dip it low, drop it low for your homeboy, mama
(Tell them it’s your birthday)
Do what you wanna and be who you wanna
Forgive and let the karma, karma