Nandy
Pole

[Verse 1 : Nandy]
Hivi ushasikia
Mtu anaogeshwa na mdalasini
Maana sio jina, anataja mpaka ubini
Tena akiumwa huwaga hataki quinine
Anachokitaka kuniona mimi
Tena mkaka kwangu ndo kafall, ooh
Yaani mazima, aah
Kwangu hana shaka
Kwako atakuja tomorrow
Yaani kazima, aah

[Pre-Chorus : Nandy]
Nikuambie tu
Mi ndo wakwanza
Kama ukitaka kukiwasha, tunakiwasha
Nikuambie tu
Mi ndo wakwanza
Kama ukitaka kukiwasha, tunakiwasha

[Chorus : Nandy]
Nasema pole
Wacha nikupe pole
Mwenzangu pole
Wacha nikupe pole
[Verse 2 : Mimi Mars]
Utanifanya nini kwanza kwa mfano?
We utajuaje tuko watano?
Hata kwangu mimi, yaliyomo yamo
(Ooh, yaliyomo yamo)
Nampa vya pwani, vya kizaramo
Tena usijaribu mashindano
Huniwezi hata kimuonekano
(Caah, muonekano)

[Bridge: Mimi Mars]
Sina noma, sina noma
Nachotaka kukuambia sisi tushapendana
Sina noma, sina noma, yeah
Nachotaka kukuambia sisi tushapendana

[Pre-Chorus : Mimi Mars]
Nikuambie tu
Nishajipanga
Kama ukitaka kukiwasha, tunakiwasha
Nikuambie tu
Nishajipanga
Kama ukitaka kukiwasha, tunakiwasha

[Chorus : Mimi Mars]
Nasema pole
Wacha nikupe pole
Mwenzangu pole
Wacha nikupe pole