Mohombi
Kwangu Njoo
[Intro]
Ey, Vee Money on the track...

[Verse 1]
Tabasamu toka kwa mama
Ukimya na upolee kwa baba
Katukutanisha rabana baby
Macho yako yanitazama sana
Kama uliniona jana
Moyo ndani unabishana
Hata ntake kuongea

[Pre-Chorus]
Kweli oh, nishamvuruga
Kwahiyo anavuta muda
Sio siri oh oh oh hataki kunikosa
Muda wote anajaribu
Nia yake niwe karibu

[Chorus]
Akasema kwangu njoo (kwangu njoo mama)
Kwangu njoo (ya gaeh)
Kwangu njoo (kwangu njoo ma chèrie)
Kwangu njoo (come to me)

[Verse 2: Mohombi]
(Mohombi)
Ooooh, there she goes
Looking at me, pretty girl looking so sweet
Yeah she knows
I'm looking at her, tryna have her come to me
Oooh that love is on fire (and it's not hard to see)
That you're my only desire (you're the only one I need)
I don't know any much about chemistry
But I know that this must be destiny
[Pre-Chorus]
Oh mame
Yo koboma ngai (ma chèrie)
Yo koboma ngai (my love)
Yo koboma ngai (my one and only)
Yo koboma

[Chorus]
Kwangu njoo mama eeh (kwangu njoo)
Yagaeeenh (kwangu njoo)
Kwangu njoo, ma chèrie (kwangu njoo)
Come to me

Akasema kwangu njoo (kwangu njoo mama)
Kwangu njoo (ya gaeh)
Kwangu njoo (kwangu njoo ma chèrie)
Kwangu njoo (come to me)

[Bridge]
Kweli oh, nishamvuruga
Kwahiyo anavuta muda
Sio siri oh oh oh hataki kunikosa
Muda wote anajaribu
Nia yake niwe karibu

[Chorus]
Akasema kwangu njoo (kwangu njoo mama)
Kwangu njoo (ya gaeh)
Kwangu njoo (kwangu njoo ma chèrie)
Kwangu njoo (come to me)
Akasema kwangu njoo (kwangu njoo mama)
Kwangu njoo (ya gaeh)
Kwangu njoo (kwangu njoo ma chèrie)
Kwangu njoo (come to me)