[Intro]
Nani tron aaah tron (eyo tron)
Liiiih aaaaaah (iih iiih iih aaaaah)
Iiiiih aaaaaah (iih iiih iih aaaaah)
(Et Nani kakojoa shuka imetota aah imetota shuka imetota)
[Verse 1]
Leo nsingebaki ndani ata inyeshe mvua (inyeshe mvua )
Sina sent kumi yani ntadandia washua (aah washua)
Kwani dj ni nani mbona anajua (anajuaaa)
Kibegi nishikieni nataka kuuwa (basi uaa)
[Chorus]
Eh shika shika shika shika
Eh shika shika shika
Mmh mmh mmh
Mmh mmh mmh
[Verse 2]
Polisi kamata wizi wanawaibia watu
Polisi kamata wizi wanawaibia watu
Muongeze ulinzi tule bata mpaka jumatatu
Mtuache na walevi twalewa kwa hela zetu
[Chorus]
Eh shika shika shika shika (twalewa kwa hela zetu)
Eh shika shika shika (twalewa kwa hela zetu)
Mmh mmh mmh
Mmh mmh mmh
[Outro]
Ole le le olo lo lo
Ole ole ole olo lo lo
Ole le le olo lo lo
Ole ole ole olo lo lo aaah