🔥 Earn $600 – $2700+ Monthly with Private IPTV Access! 🔥
Our affiliates are making steady income every month:
IptvUSA – $2,619 • PPVKing – $1,940 • MonkeyTV – $1,325 • JackTV – $870 • Aaron5 – $618
💵 30% Commission + 5% Recurring Revenue on every referral!
👉 Join the Affiliate Program Now J Dilla
Bora baba angekuwa mbunge
Intro:ts all about hustle....hustle all day......
Verc:1
MikSa kuku mikSa bata zinawafanya wawe stebo/
Kila siku mi tembele japo muhimu vegetable/
Mpaka wana kinai utamu kama samaki kupiga mbizi/
Mie vinono na vitamu naishia kuviota kwenye njozi/
Yule baba ake mbunge, wangu mwananchi wa kawaida/
Baba angekuwa mbunge nisingezijua shida/
Wanajenga barabara ilimradi kwa faida yao/
Ili wakija kwenye kampein wasiumize magari yao/
Wakiondoka ndo wameondoka wanatuachia vumbi tu/
Hafueni kwa wakishua sio kayumba wa miguu/
Kiatu cha shule miaka mitatu, uku wa mbunge ye anachange/
Skonga hupelekwa na gari, mi mpaka soli husema please/
Elimu yangu yakikayumba nasoma kwa mwanga wa jirani/
Uku wa mbunge ye ana happy na tayari yupo mamtoni/
Bora baba angekuwa mbunge dodoma bungeni/
Labda izi shida ningeishia kuziota ndotoni......
Chorus:
Life is hard matatizo yamepangana/
Hakuna kazi kwa ofisi wanabebana/
Life chungu sio sweet kama banana/
Stress nyingi kwa kichwa zinagandana.....