Lala

Vers 1:

Giza lime ingia

Mpenzi uko wapi
Natamani uwe na mimi

Nawe uko mbali

Uuuuuuwoooo

Uuuuuuwoooo



Chorus:

Unikumbuke mimi (uki lala)

Uniwaze mimi (uki lala)

Unikumbuke mimi (uki lala)

Uniwaze mimi (uki lala)



Vers 1:

Penzi nakutamani

Nione sura yako

Picha yako iko kutani

Naiona kila siku

Uuuuuuwoooo

Uuuuuuwoooo



Chorus:

Unikumbuke mimi (uki lala)

Uniwaze mimi (uki lala)

Unikumbuke mimi (uki lala)

Uniwaze mimi (uki lala)



Bridge:

Kila niki lala mimi nakuwaza we, kuota we

Kila niki lala mimi nakuwaza we, kuota we

Kila niki lala mimi nakuona we, kuota we

Kila niki lala mimi nakuona we, kuota we



Chorus:

Unikumbuke mimi (uki lala)

Uniwaze mimi (uki lala)

Unikumbuke mimi (uki lala)

Uniwaze mimi (uki lala)

More by GAZA

All GAZA songs →