Bado Nakupenda

Lala lala lala lala laalaaa



Verse 1 :
Yah! mungu alinibariki na lugha

Nikakua pproach

Mungu alikubariki na sura na body moja hot mungu angetubariki najua ndio maana nilikustop

Na wazazi wakitubariki itakua full stop

Kwangu penzi ilikua tu ugonjwa ya akili

Aha hadi uliponikubali mimi

Bado najuta sana ulinifanya lolote juu mguu taratibu hukanyaga popote

Now love ikashika hawangetushika

Kwa keja ni mapicha kwa fb na twitter

Menu penzi nyama quarter na mboga mcicha

Tukapanga kuita mtoi jamila na akue na sista

Pacha ka inaweza ndio washoneshwe ma t shirts

Miaka moja imepita tuko na love bila do

Bado landlord anainsist kwa mlango ananock

Hii hustle itajipa nataka nikukumbushe kwamba



Chorus:

Nakupenda

Nakupenda

Nakupenda wewe

Nakupenda

Nakupenda

Nakupenda wewe



Verse 2

So after maombi na ku fast nikapata kazi

Love yetu ilikua poa ndio but tulihitaji ganji

Nikawa busy nikiingia home uko usingizi

Hakuna utamu kwa dishi umenifunikia tu ndizi

At some point tuligombana ndio maisha tulitaka

Grandma alinishow hakuna refund kwa mganga

Sababu kitanda ni ya kurest tu si kulala

Ku make it worse nikapewa transfer Rwanda

Its either sonko hanitakii but aliblanda

All along tulipigania hii maisha ndio i have it

Pia misemo hudanganya ati patience is a virtue

Chelewa chelewa utapata mwana si wako

So sikuhizi mi hupiga hata hushiki

Sikuhizi mi hupika hata si dishi

Niko sufuri zero wewe bila mimi

Hii hustle itajipa nataka nikukumbushe kwamba



Chorus:

Nakupenda

Nakupenda

Nakupenda wewe

Nakupenda

Nakupenda

Nakupenda wewe

Nakupenda

Nakupenda

Nakupenda weweeee



Verse 3:

Huku Rwanda niko karibu kuvutwa kazi

Kujazwa wasiwasi nilisikia una mshikaji

Nikikuuliza ati ni gazeti za mtaani

Kukuskia ntakua poa nikikuona ntakua zaidi

Watu hufake mikono hizi barua hazifaidi

Juzi haukushika simu jana na leo

Naskia pia umehama unaenda kuwa mkeo

Harusi wamepanga kwa leso uteo na

Ni ya kisasa hadi ulinitumia video

Niko rwanda sina mshikaji bila kazi

Simu yenyewe bure haiwezi kuokoa jahazi

Nakukumbusha bahati kuwa nakupenda



Lala lala lala lala lala laalaa la laaa



Yaani mapenzi imenitenda sana

Lakini natumai katika hii safari yangu ya mapenzi

Nitapata ile ya ukweli

Asante sana chuli

More by GAZA

All GAZA songs →