Diamond Platnumz
Nitafanyaje
[Intro]
Oooooooh oooh
Enheee
Hii ni kwa niaba

[Verse 1]
Siwezi sema kitandani, labda umasikini wangu
Ndo kilionishusha thamani wathaminike wenzangu
Siwezi sema sikujali, labda vizawadi vyangu mimi
Havikufikia ukubwa wanavyotoa wenzangu

[Pre Chorus]
Kinachoniumiza ridhiki hugawa mola
Ingalikuwa mimi mbona angehomola
Na mbaya kabisa, rafiki wananichora
Kwa hizo posti zake na wenye nguvu la dollar

[Chorus]
Oooh oh mi moyo wangu mama
Unaona uchungu
Mwenzake mi moyo wangu
Anauumiza sana
Sema nitafanya nini
Ndo hivyo nitafanyaje
Ila nitafanya nini
Ndo hivyo nitafanyaje
[Verse 2]
Nashikwa kigagaziko kila nikiingia chumbani
Sijui nilalie tandiko ama sakafuni yani
Nacheka tu kwa nje ndani, masikitikoo
Sababu pengo lako honey, bado lipo

[Pre Chorus]
Kinachoniumiza ridhiki hugawa mola
Ingalikuwa mimi mbona angehomola
Na mbaya kabisa, rafiki wananichora
Kwa hizo posti zake na wenye nguvu la dollar

[Chorus]
Oooh oh mi moyo wangu mama
Unaona uchungu
Mwenzake mi moyo wangu
Anauumiza sana

[Bridge]
Oyaaa, DJ DJ hii ngoma iweke repeat
Maana inatupa stimu na wanangu kulilia kijiti
DJ DJ hii ngoma iweke repeat
Asa jitie wazimu kuitoa tuuzime muziki

Kwa maana inatupa (Vibeee)
Eh inatupa (Vibeee)
Wanangu inawapa (Vibeee)
Eh inatupa (Vibeee)
Machizi boti wanapata (Vibeee)
Eh wanapata (Vibeee)
Na bebe zinipata (Vibeee)
Eh zinapata (Vibeee)
Namnem mwanangu kwa upande wa khanga
Nilitamani tengе ila sijajipanga
Namnema mwanangu kwa midabwada mwenzio
Nilitamani maless ila ndo sina salio

Mama yoo mama yoo (Wamеnitenda hawa kausha damu)
Ooh mama yoo mama yoo (Wamenitenda hawa kausha damu)
Ooh mama yooo (Wamenitenda hawa kausha damu)
Mama yoo mama yoo (Wamenitenda hawa kausha damu)

Asaaa waiteeeee eeh
Oya makofi kigogo nipe mawili
Kama hujatumika sana sehemu za siri
Kama sio mloganzila shepu asili
Sa nipe ya kibunge-bunge utitiri (Twenzetu)

Asa good walete, walete hapa kati
Walete hao, walete hapa kati
Walete hasa, walete hapa kati
Walete hao, walete hapa kati

Eeh tunacheza mpaka saa ngapi
Tunacheza (Mpaka asubuhi)
Tunaruka mpaka saa ngapi
Tunacheza (Mpaka asubuhi)
Nepe tena, bado sijaona
Nepe tena, bado sijaona
Nepe tena, bado sijaona
Nepe tena, bado sijaona

Eeeeh (umelewa)
Aah (unayumba)
Eeeeh (umelewa)
Aah (unayumba)
We toss umelewa asa mbona unayumba
Aya kunambi umelewa asa mbona unayumba

Oya wahauni wana namba zao zinaitwa (Arobaini tano)
Wanangu wana mamba zao zinaitwa (Thelasini na mbili)
Masala wana mamba zao zinaitwa (Ishirini na sita)
Oya kuna wengine hawana namba ila chokoza

Kitimtim kitimtim
Kitimtim kitimtim
We mama Dangote
Ni Exelent vyema tiki ama kwa kizungu good