Stimu

Hook:

Catch me mwisho wa mwezi popping tags at Kariakoo

Bebe mbili zishanicheki
Leo jioni kweli soo

Tungi Ndoo

Mobile money balance kitu kama Mo

Kama unaweza njoo, bata- yeyo!



Bridge:

Mr Dj Dj leo cheza tu nyimbo za mi na masela, ay

Booze, food, trees, shpapi noma oyy wera wera, ay

Bukta, vest, sandals, baby all Commando ndani ya Dera, ay

Slim waiste, round booty, boujee kama vile Mirlah!! ay



Verse 1 (Brian SImba):

Bongo city hommie

All my n***as know me ka' jamaa wa style nyomi

Njooni kwetu jumamosi nyama kama tamasha la Carol Ndosi

Wowowo kwa mboni

Mcheki George Williams bata mbudya mpaka jioni

Tungi mpaka basi

Mixa sprite, coca, stoney..

Just another weekend in my city- daressalaam baby baby ohh yeah!

Ndinga lenyewe la kuiba home

Mwanangu endesha polepole

Back seat kissing- put my hands in her skirt ghafla tu nmeloa vidole

Riding around ndani ya jiji- ubao ukizidi tukale chole

Jicho nyanya sana take a takeaway, kwanini tu nikae wanchore?

Off to a houseparty- Gambe, slow music, shawties kibao natia mastory

Zama room, zima taa, lock doors- cheza mechi mpaka Goli

This is the shit that went down kumfanya gavin aandike sunday morning



Hook



Bridge 2:

Mr waiter waiter leo leta tu Gambe for mimi na squad

Ooh my God! leo kifo- ebu cheki mfuko ulivojaa

Kuku, Mbuzi, Ng'ombe, Gambe

Hombre, hakuna kitu kama njaa

Daily ni mi na vichaa

Tupo kitaa- mskilize jamaa- eh!



Verse 2 (I.D):

Bado ninadunda navyopaswa, wanaunga tunawaacha

Wanashuka tunapanda, tunavunja wanasanda

Bado mkubwa kama baba, kama uber kwenye stata

Wananisoma kama dua kwenye mkwanja

Aah ah, hata wasiguse, aah ah

Majani kama shamba dah ah

Navuta ah yea, navuta sana

Niko na Simba, wakileta beef- nyama

I swear, leo haponi mtu I swear!

Mtungi kama ruvu I swear!

Pesa inaongea tumevunja vibubu I swear!

Mtamu kama boom I swear!

Yea, bado fiti na machizi, kila street bado mziki

Bado bigy bado pindi, bado ligi bado spidi

Niko na mtoto amejaza kama duka la muhindi, kwani vipi

Bado mbichi bado mziki, bado kiki bado gwiji

Bado mbishi bado mziki, bado ligi

Tuko maji kama wimbi, bado kwikwi

Mziki mnene kama bigy, hawanshiki

Wanansoma kama barua ya urithi

Bata la kufa mtu hadi mazishi, lord!



Outro (Brian Simba):

Stimu zikikata tunahamisha makambi

To Mbezi Beach

Mauaji kibao so hizi pesa rambi rambi

Fire, fire, its lit

Kama kibatari na tambi

Black girls, white shpapis

Na wengine rangirangi.. ayy!!

More by ID

All ID songs →