Eldoret Rap Kings

Verse 1[Omondi Ochuka]



Mvua ikiangukia inscriptions kwa garden
Constellations na sticker za amniotic tape

Coded bars, me hu-feel ni ka universe ilimbau kwa hii pen

Niko juu ya script

So vitu verbal, methali zita-narrate

Onion bulbs, nawacha film na tears ziko darkened

Idea kwangu ni clinical

So najichanja ulimi na mind

Time kifuniko ya jeneza ikizibwa at night

Wino inagather bahari na stars pamoja na light

Conditional future

Mikono ziliandikwa na forbidden gaps

Hesabu za body ni sahini insha haziwezifichua

Kila nikitazama space

Nawacha voids na riddle ziko broken

Voids assulym, excursions maneno yanaanzia novel

Msuko? Lonliness iko deserted kwa kisima haikuchimbwa

Nahitaji kudunga hii verse ball

Kabla macho na hidden thoughts kutazama platform

Rong bondia na haramia, ma-mermaid na piracy symbols

Hii spit ni delicate fires

Vyumba vya maiti utapata doggy na vichwa tatu kwa gate

Nakariri geometry ya usiku zilizikwa na gradient

Hekaya za aliyepoteza kichwa kama Johnny the Baptist

After Death, uliza poetry ya Christina Rossetti

Booth iko paged, nangoja moaning nyuma ya curtains zikiwa half-drawn

Nafinya alfabeti vibaya, dialogues zinavuja kama fikra nikira ikitazama porn



Wudz



|Hook|

Still born

Baado tuna-decipher inspiration kwa dome

Stillborn

Baado tuna-deliver message ilifichwa kwa envelope

Hoping siku moja tutazaliwa once more



Verse 2|MC Spook|



Hizi ni ideas ziko stillborn

Knowledge not yet torn

Voices hujawahiskiza ona song

Kumbukumbu za torati zilimispeliwa kwa hotuba

Shairi zenye zimepotea kwa hotuba

Hizi ni maarifa ndani ya damu nyeusi

Ziliniacha na arudhi kwa shairi nikikariri

Nafufua Zaburi zilianguka kwa deaf ears

Kalamu zetu

Ziko poisoned

Pictures zili-worth a thousand words

Hizi ni taswira tunajenga

Mentalities zetu zili-evaporate kwa mtaa

Kutafuna ukweli nilivunja ukweli kwa vitabu za hitoria

Bahati yangu ilikuwa kumwandikia mungu barua

Kwa vitabu vya maisha

Tulichambua vitu nyingi

Upendo na sahani ya agony

Tulizaliwa kwa dunia ya mviringo

Penye fallen angels waliangushwa juu ya maringo

Beauty ni inborn sio kukata shingo

Spirit yangu ni inborn sio historia na bayolojia

Hakuna siku

Kama hamwahikuwa nice natema tembe na visu kwa msitu ya akili mlikata na visu





Outro



|Wudz|



Classic...

Yaw...

Still born bado na'exhale life-force kwa lungs

Still born bado nascript code ya ku'save ma'thugs

Born a king, lakini naishi ka mtumwa

Na si ati niliacha mila but nilisukumwa

I was born wise

But school taught me otherwise

Future ni uncertain ka fate ya stillborn

Valley ya shadow of death imejaa cable ya silicon

More by Wudz

All Wudz songs →