(Yeah)



[Verse 1.] (YD)

Kamazegani mpira hupo gambani

Vile nawabana kutoka China na Japan'I

Namwamini mungu funga virago shetani

Ndo makini akiwa mweusi baraka tumwite Nani (huh!)

Kwenye beat natereza hadi nachana kingereza

GOOD MOENI , HOW ARE YOU. MADE THAT SIMPLE, YOU TWEET FOR YOUR OWN, BUT I TWEET FOER MY PEOPLE

Nisha taabika, walasikusikika

Wakalashika saani nikakosa nilicho pika

Sasa mambo yamejiba, kilakitu niuwakika

Nanenepa wasafi kupita Safi na Tifa





[Chorus]

Wananita SUGU (nani!)

Wananita SUGU! (Nani?)

Wananita SUGU,... SUGU, SUGU, SUGU!





[Verse 2.] (Eky)

Nita Rayvanny boy V-Vanny langu jina

Kinyago toka mbaya sio toi laki china

Sija toboa skio sijipiko wala Ina, Nitatulia kazigani

Ngozi taa Imezima, visilali walo kesha kupiga dini

Awahamini nikipita wanaokba picha namimi

Zamani, mademu walinipiga chini sasa wananisumbua wao "Ray jibulangu lini?" Nashindwa kuwa tabiri walio sema nitafeli

Wakanita bajaji stopita kwenye relly

A'sa niwasafi, kuku kapona kideli

Ukisikia "Birthday!" basi tukutane sheli





[Chorus]

Wananita SUGU (nani!)

Wananita SUGU! (Nani?)

Wananita SUGU,... SUGU, SUGU, SUGU!





[Verse 3.] (YD)

Nite Raysugu, Sugu lakula Sugu

Binti mama wakambo mbona linatema sudu

Mafuta namashudu, kitukina kusudu

Vunja kibubu usiju kuwa mchele ama bubu

Nafurai kuona matusi ya walio ninyima kero pindi nakula mizinga

Sasa nawapa kero zamu yao kuzinga, Eky kanipa mila msishutuke nikivimba!

Uswaze, ndipo napotoka,... Sister'du onyo kushoboka

Sito kuonga IPhone, nitakuonga gorofa

Simu liki tochi ukacheze gemu lanyoka





[Chorus]

Wananita SUGU (nani!)

Wananita SUGU! (Nani?)

Wananita SUGU,... SUGU, SUGU, SUGU!





[Chorus]|YD + Eky

Nite Eky boy YD langu jina

Sija toboa skio sijipiko wala Ina

Nita tulia kazigani ngozi taa imesha Zima

Misilali, walokesha kupiga dini

Awaamini nikipita waomba picha namimi

Zamani, mademu walonipiga chini sasa wana sumbua "Leo jibu langu lini?"

Eshima kwawatabiri walio sema nita feli

Wakanita bajaji sitopita kwenye sheli, sa'niwasafi

Kuku kapona kideli ukiskia birthday basi tukutane sheli

,....Yeah,.......mmmh YD (Mr.Eky!)