[Intro:]
Vee money on the track yee
S2Kizzy Baby
Aahh
[Verse 1 : Jux]
Shawty badder
She got me high kama beat ya S2kizzy
Nisipomuona sekunde nammiss
Najiuliza amenipa ninii?
Kila stori nayopiga ye ndo mada
Nangombana kabisa wakimdiss
Na kuumia kwa moyo nahisi
Najiuliza amenipa niniii?
[Pre-Chorus: Jux]
Namkunja kabisa kama kambale (aaaaha)
Nashinda kabisa sitaki sare (aaahaha)
Hakuna tunguri mambo ya chale
Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare
Namkunja kabisa kama kambale (aaaaha)
Nashinda kabisa sitaki sare (aaahaha)
Hakuna tunguri mambo ya chare
Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare (Yeeiyee)
[Chorus: Jux]
Ananivuta vuta kama magnet
I belong to you, U belong to me baby
Ananivuta vuta kama magnet
I do na do na do na do yeyeee
Ananivuta vuta kama magnet Yeah yeah yeah...
Ananivuta vuta kama magnet I do, I do, I do, ooh yeah
Suma suma suma-ku, Suma suma suma-ku
Suma suma suma-ku, sumaku sumaku
[Verse 2 : Vanessa Mdee]
Baby please
Tell me you want more What you like about the feeling?
Honestly
I wanna show you, I’m feeling you too
Lemmi take you to a nice place, tuzime taa
Nivute nikunase, utashangaa
Nikupe vitu vyote, upate raha
Am caught up in you And am tempted to stay up
(Yooh Yooh)
Oooh baby (Oooh baby)
Nikikuona nazubaa (Oooh baby)
Oooh baby (Oooh baby)
Mi napandwa na kichaa (oooh baby)
[Pre-Chorus: Jux]
Namkunja kabisa kama kambale (aaaaha)
Nashinda kabisa sitaki sare (aaahaha)
Hakuna tunguri mambo ya chale
Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare (Auww)
Namkunja kabisa kama kambale (aaaaha)
Nashinda kabisa sitaki sare (aaahaha) yo
Hakuna tunguri mambo ya chare
Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare
[Chorus: Jux]
Ananivuta vuta kama magnet
I belong to you, U belong to me baby
Ananivuta vuta kama magnet
I do na do na do na do yeyeee
Ananivuta vuta kama magnet Yeah yeah yeah...
Ananivuta vuta kama magnet I do, I do, I do, ooh yeah
Suma suma suma-ku, Suma suma suma-ku
Suma suma suma-ku, sumaku sumaku
[Outro: Jux]
Anatuvua Kila akitupa nyavu
Anachukua Aah visenti vyetu vyote
Anatuvua Aah mama kila akitupa nyavu
Anachukua Hatutoki eeh
Anatuvua Aah-ah akitupa nyavu
Anachukua Yaani visenti vyetu vyote
Anatuvua Mama mama ma
Anachukua Yeee ye ye ye ye